Restless Hustler
JF-Expert Member
- Apr 9, 2017
- 5,150
- 20,025
Eti "nimueleze nani shida zangu",
Si amuambia babaake na mamake au hata Mwenyezi Mungu?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Eti "nimueleze nani shida zangu",
EtiWe jamaa Mungu anakuona, unataka mwezio afe na njaa😃😃😂😂
🤣
Kuna watu wanateseka walahi
Tuko na kampeni kali sana dhidi ya kausha damuWe jamaa Mungu anakuona, unataka mwezio afe na njaa😃😃😂😂
Katiri sana huyu bahariaWe jamaa Mungu anakuona, unataka mwezio afe na njaa😃😃😂😂
Mkuu jitahidini kampeni ziishie tu kwetu humu jukwaani, mtaua wadada wa watu🤒🤒😂Tuko na kampeni kali sana dhidi ya kausha damu
Kwakweli sijapenda😒Katiri sana huyu baharia
Sana ila sasa wanafanya tuonekane ni woteKuna watu wanateseka walahi
Jukumu la boyfriend ni kumpa girlfriend wake mapenzi tu hizi mambo za kuhudumiana si kweli🤣
Umeua kwa njaa binti wa watu tayari
Kausha damu bora muweke hilo jina si wadada wa jf au mnataka niwe kama wao mlieMkuu jitahidini kampeni ziishie tu kwetu humu jukwaani, mtaua wadada wa watu🤒🤒😂
kuachana nao tu,, kwani na wewe unateseka huko best??Sana ila sasa wanafanya tuonekane ni wote
Aisee nunua mdoliJukumu la boyfriend ni kumpa girlfriend wake mapenzi tu hizi mambo za kuhudumiana si kweli
Nitajiby baada ya labour nilikulaje supukuachana nao tu,, kwa na wewe unateseka huko best??
Si mnasemaga wa humu jf ndio haohao wa mitaani 😅 acha nyundo zipigwe kotekote nje na ndaniMkuu jitahidini kampeni ziishie tu kwetu humu jukwaani, mtaua wadada wa watu🤒🤒😂
Ila hata watu wamezidi aisee, me nilikua najua ni utani.. Mzee wa kupambania 😂😂Kausha damu bora muweke hilo jina si wadada wa jf au mnataka niwe kama wao mlie
Anakuita majina yote ya kimahaba "mume,mpenzi, mkeo nitalia"Jukumu la boyfriend ni kumpa girlfriend wake mapenzi tu hizi mambo za kuhudumiana si kweli
Nipe namba yake aisee asije akafa njaa mdada wa watu😃,, wanawake kuinuana au unasemaje Unique FlowerSi mnasemaga wa humu jf ndio haohao wa mitaani 😅 acha nyundo zipigwe kotekote nje na ndani
Sana ila wakizidi kuandika wadada wa jf basi nitawakausha damu kweli ili iwe kweliIla hata watu wamezidi aisee, me nilikua najua ni utani.. Mzee wa kupambania 😂😂
Hiyo ndiyo hali halisi mkiona wanaume wanalalamika kupigwa vizinga hawatafuti kiki mjue yamewafikaIla hata watu wamezidi aisee, me nilikua najua ni utani.. Mzee wa kupambania 😂😂