Samiaagain2025
JF-Expert Member
- Dec 2, 2020
- 4,834
- 5,310
Lissu ataachiwa soon.Kweli nitafungwa na hata KUNYONGWA ila sio kabla ya Lissu!
Kabla ya June atakuwa huru.
Hapo ndipo wewe na waliokutuma mtabaki uchi.
Lissu ataachiwa soon.Kweli nitafungwa na hata KUNYONGWA ila sio kabla ya Lissu!
Media zimevamiwa eti hadi Masanja mkandamizaji nae ni mchambuzi nguli kwa sasa...To me, Zembela is definitely a joke, a big joke in town. 😁
Huwa nikimsikia tuu nacheka sana, nakumbuka enzi zake na marehemu Max, wakikata viuno na enzi za Mango garden, wakiburudisha kabla Twanga Pepeta hawapanda stejini, nikiwashuhudia enzi nikiwa yanki mjini hapo. Kweli watu hutoka mbali. 😁
Kwa iyo sasa hivi ndio mchambuzi wa masuala nyeti ya nchi hii. 😁
Media zimevamiwa eti hadi Masanja mkandamizaji nae ni mchambuzi nguli kwa sasa...
Kumbuka uhaini dhidi ya ukandamizajiWanabodi,
Wanao amini kwamba mashtaka ya Tundu Lissu yanatakiwa yafutwe kwasababu anahukumiwa kwa alicho kisema na sio alicho kifanya wanatakiwa waelewe vifungu vya katiba vinaeleza nini kuhusu uhaini
View attachment 3314345
Ila mimi ninaona wao uawa sio wana chadema bali ni wehu ambao hawana kazi za kufanya zaidi ya kufata mikumbo!!Ila kwa hapa tulipofikia kama Taifa, kuja kupata Umoja wa Kitaifa tuna safari ndefu sana.
Bahati mbaya, Wazee wenyewe wa kuliponya Taifa wamebakiza miaka 5 hadi 15 ya kuishi maana wengi umri umewatupa Mkono.
Sina hakika hivi visasi vikihamia Kwa watoto wetu, Nchi itakuwaje
Kwasasa CCM anaona haki akiuawa mtu wa CDM
Itafikia hatua Mtu wa Chadema ataona ni haki yake kutendewa hayo, naye akipata nafasi anaweza kufanya jambo baya Kwa asiye wa CDM
Hizi Siasa zetu, tuone namna sahihi ya kwenda mbele pamoja kabla hawa Wazee wenye Ushawishi hawajalala kimya
Tunawapongeza sana kwa kuelimisha watanzania ukweli. Mmedadavua kwa usahihi wa asilimia 100 maana ya uhaini kwa mjibu wa katiba ya nchi yetu.Wanabodi,
Wanao amini kwamba mashtaka ya Tundu Lissu yanatakiwa yafutwe kwasababu anahukumiwa kwa alicho kisema na sio alicho kifanya wanatakiwa waelewe vifungu vya katiba vinaeleza nini kuhusu uhaini
View attachment 3314345
Mambo yamebadilika hata zembwela anafanya uchambuzi wa kesi ya uhaini. Uchawa+kutojitambua ni mzigo mkubwa sana.To me, Zembela is definitely a joke, a big joke in town. 😁
Huwa nikimsikia tuu nacheka sana, nakumbuka enzi zake na marehemu Max, wakikata viuno na enzi za Mango garden, wakiburudisha kabla Twanga Pepeta hawapanda stejini, nikiwashuhudia enzi nikiwa yanki mjini hapo. Kweli watu hutoka mbali. 😁
Kwa iyo sasa hivi ndio mchambuzi wa masuala nyeti ya nchi hii. 😁
Duh.Lissu ni suala la muda tu anakula kitanzi!
Atafungwa mama yako.Kweli nitafungwa na hata KUNYONGWA ila sio kabla ya Lissu!
Nani kamwambia kuwa Juni ni mbali?Lissu ataachiwa soon.
Kabla ya June atakuwa huru.
Hapo ndipo wewe na waliokutuma mtabaki uchi.
Wanabodi,
Wanao amini kwamba mashtaka ya Tundu Lissu yanatakiwa yafutwe kwasababu anahukumiwa kwa alicho kisema na sio alicho kifanya wanatakiwa waelewe vifungu vya katiba vinaeleza nini kuhusu uhaini
View attachment 3314345
Nani amnyonge??kuanzia babako,mamako Hadi ukoo wenu wote patachimbika.jaribuni muone????Anyongwe huyo kibaraka
Ila kwa hapa tulipofikia kama Taifa, kuja kupata Umoja wa Kitaifa tuna safari ndefu sana.
Bahati mbaya, Wazee wenyewe wa kuliponya Taifa wamebakiza miaka 5 hadi 15 ya kuishi maana wengi umri umewatupa Mkono.
Sina hakika hivi visasi vikihamia Kwa watoto wetu, Nchi itakuwaje
Kwasasa CCM anaona haki akiuawa mtu wa CDM
Itafikia hatua Mtu wa Chadema ataona ni haki yake kutendewa hayo, naye akipata nafasi anaweza kufanya jambo baya Kwa asiye wa CDM
Hizi Siasa zetu, tuone namna sahihi ya kwenda mbele pamoja kabla hawa Wazee wenye Ushawishi hawajalala kimya
Hao wote uliowataja wana Ushawishi Kwa Mhe. Rais ila Mkwere ndiyo mwenye Ushawishi zaidiMzee gani mwenye ushawishi kiongozi? wasira? au mkwere? au pinder?😉.
Hao wote uliowataja wana Ushawishi Kwa Mhe. Rais ila Mkwere ndiyo mwenye Ushawishi zaidi
Na Mama anapokea Ushauri wa Mkwere kama agizo hivyo hutekeleza kwa haraka
Hahaha...........hao wana access ya kuingia Ikulu kama Wachina walivyo na access na Kariakoo yetu 😜Nimekuelewa kama ana ushawishi kwa mama, nilidhani unamaanisha ushawishi kwa watanzania!