Mashtaka ya Tundu Lissu ni ya kweli. Tafsiri ya uhaini kwenye katiba ni hii

Media zimevamiwa eti hadi Masanja mkandamizaji nae ni mchambuzi nguli kwa sasa...
 
Media zimevamiwa eti hadi Masanja mkandamizaji nae ni mchambuzi nguli kwa sasa...

Huwa nacheka sana, nchi yetu hii lolote linawezekana mkuu. Zembela ndo mchambuzi wa mambo mazito mazito. He knows everything! 😁
Maisha haya. 😁
 
Ila mimi ninaona wao uawa sio wana chadema bali ni wehu ambao hawana kazi za kufanya zaidi ya kufata mikumbo!!
 
Wanabodi,

Wanao amini kwamba mashtaka ya Tundu Lissu yanatakiwa yafutwe kwasababu anahukumiwa kwa alicho kisema na sio alicho kifanya wanatakiwa waelewe vifungu vya katiba vinaeleza nini kuhusu uhaini
View attachment 3314345
Tunawapongeza sana kwa kuelimisha watanzania ukweli. Mmedadavua kwa usahihi wa asilimia 100 maana ya uhaini kwa mjibu wa katiba ya nchi yetu.
Hongereni sana. Huo ndiyo ukweli.

Mtu hachagui wazai watakao mzaa wala nchi atakayozaliwa. Hivyo inalazimika kuwa na utii (allegiance) kwa wazazi wake na nchi alikozaliwa. Ukikosa hilo kwa wazazi wako itahukumiwa na Mwenyezi Mungu kwenda motoni utakapokufa kwa kosa la kuvunja amri ya nne ya Mungu kwa wakiristo. Ukifanya hivyo kwa nchi yako utanyongwa hapa duniani hadi kufa kwa ibara mliyoinukuu kwa usahihi ya katiba yetu ya nchi.Hapo Tundu Lissu hawezi chomoka kwa sarakasi za akina Kibatala.
 
Mambo yamebadilika hata zembwela anafanya uchambuzi wa kesi ya uhaini. Uchawa+kutojitambua ni mzigo mkubwa sana.
 
Hao ndo analyst wa kipindi chao, mlitaka wamualike nani ZUCHU?
 
Wanabodi,

Wanao amini kwamba mashtaka ya Tundu Lissu yanatakiwa yafutwe kwasababu anahukumiwa kwa alicho kisema na sio alicho kifanya wanatakiwa waelewe vifungu vya katiba vinaeleza nini kuhusu uhaini
View attachment 3314345

Hivi ulishachaguliwa Kiongozi wa wapumbavu? Mtu pekee wa kumwangukiq rais ni Heche, tumeona anayofanya?
 
Sawa, Muuweni basi ili mkae kwa amani mle nchi.
 

Mzee gani mwenye ushawishi kiongozi? wasira? au mkwere? au pinder?πŸ˜‰.
 
Mzee gani mwenye ushawishi kiongozi? wasira? au mkwere? au pinder?πŸ˜‰.
Hao wote uliowataja wana Ushawishi Kwa Mhe. Rais ila Mkwere ndiyo mwenye Ushawishi zaidi

Na Mama anapokea Ushauri wa Mkwere kama agizo hivyo hutekeleza kwa haraka
 
Hao wote uliowataja wana Ushawishi Kwa Mhe. Rais ila Mkwere ndiyo mwenye Ushawishi zaidi

Na Mama anapokea Ushauri wa Mkwere kama agizo hivyo hutekeleza kwa haraka

Nimekuelewa kama ana ushawishi kwa mama, nilidhani unamaanisha ushawishi kwa watanzania!
 
Nimekuelewa kama ana ushawishi kwa mama, nilidhani unamaanisha ushawishi kwa watanzania!
Hahaha...........hao wana access ya kuingia Ikulu kama Wachina walivyo na access na Kariakoo yetu 😜
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…