Alifeli hapo bwana huyu, kizembe sana kakamatwaYaani anajiingiza kwny Vita huku hajui mbinu za kiinteligensia,hivi kwa umaskini ilionao Burundi Ni kanisa gani linaweza ku afford kumtumia private jet huyo jamaa ya kumpeleka Burundi?
Pole sana kwa kuhangaika sana kumsafisha PAKA kwa propaganda mfu alizochapisha na labda kuwagawia mwenyewe.Ahsante kwa ku copy na ku paste! Bila kufanys utafiti kujua ukweli kuhusu huyu jamaa.
View attachment 1947655
View attachment 1947656
Kuzeeka ni mtazamo tu.umri umeenda atulie acheze na wajukuu heka heka awaachie vijana wakina mnyika
Yani hiyo ni life sentence ila kwa lugha lainiAisee miaka 25 usawa huu...!
Hatari sana.
Yani hiyo ni life sentence ila kwa lugha laini
Lile jamaa la Rwanda lilipaswa liongozane na mwendazake.... Sijui kwanini mdudu wa 19 kamshindwa huyu diktetaHatari sana Babu...!
Lile jamaa la Rwanda lilipaswa liongozane na mwendazake.... Sijui kwanini mdudu wa 19 kamshindwa huyu dikteta
Hivi Kagame uwezo was kuwatafuta maadui zake na kuwauwa ama kuwadeport Rwanda anaupata wapi wakati mwenzake hayati hakuwa na uwezo hata wa kumkamata adui yake aliyeko Isibania
Nyie washenzi tu na uongo wenu.Achana na mambo ya fiction hapa, waliokuwepo kwenye hotel ndio wanajua ukweli kua walikaa kwenye hiyo hotel kwa pesa zao sio kwa huruma ya Paul,ari wa charge waliokosa waliyolewa out. Mambo ya hiyo Fiction movie tuachane nayo ilikua ujanja wake kujitangaza na kutafta pesa,turudi kwenye issue ya Ugaidi hapa.
Mnarukia taarifa tu sijui siasa sijui nini! Hamkua na taarifa youote kuhusu huyu jamaa tangu akatwe leo ndio mme copy kwenye media za mabeberu kuhusu hukumu yake. Rusesabagina issue yake yote aliyo kuwa akiyafanya FBI wanayajua,transactions zote alizo kuwa akituma kwa watu tofauti,nchi tofauti wanajua yani evidence zote zipo. Upererezi wa Ubelgiji wanajua maana walishilikiana na RIB ya Rwanda ku mu search huko nyumbani kwake Ubeligiji,na nyaraka zote za ushahidi zipo FBI wanazo,Ubeligiji wanazo,RIB ya Rwanda wanazo. So lilikua swala la mda tu ku mnasa.
Basic evidence ziko hapa👇
View attachment 1947596
Snitches get stitchesila jamaa nae kiazi sana kwanini ajiingize kwenye siasa da ila watu wa usalama nyoka sana nasikia rafiki yake wa kalibu ndio alimuuza walijua wanaenda burundi akashangaa ndege imetua rwanda
Snitches get stitchesila jamaa nae kiazi sana kwanini ajiingize kwenye siasa da ila watu wa usalama nyoka sana nasikia rafiki yake wa kalibu ndio alimuuza walijua wanaenda burundi akashangaa ndege imetua rwanda
Watesi mnahangaika sana, huo ugaidi kuuthibisha mahakamani ni ngumu utasemaje atatiwa hatianiBado Mbowe.
Swali zuri sana! Serkali yenyewe uwezo huwo haina,sasa mchungaji atawezaje?Yaani anajiingiza kwny Vita huku hajui mbinu za kiinteligensia,hivi kwa umaskini ilionao Burundi Ni kanisa gani linaweza ku afford kumtumia private jet huyo jamaa ya kumpeleka Burundi?
wewe unaesema kabambikiwa unatakakusema hata speech zake huko youtube hujazisikia?hujui kama alikua kiongozi wa kundi la waasi la FLN?kwanza huyo ni muhaini alitakiwa hukumu ya kifo,anabahati sana.Paul Rusesabagina ni mhutu ambae wakati wa mauaji ya kimbari Rwanda, alishiriki katika kuwaokoa wa tutsi zaidi ya 1000 akiwemo mkewe na wanae, wasiuwawe. Aliwaficha kwenye hotel aliyokuwa akifanya kazi, na kwa ushirikiano wa vikosi vya UN na kidogo AU aliweza kuwatoro kinyume na matakwa ya wahutu wenzie.
Hotel Rwanda ilikuwa ni filamu ya simulizi ya ujasiri huu aliyoufanya. Alipendwa na kuheshimika nchini na mpaka nje ya Rwanda, hataUlaya. Hatimae alikuja akawa rafiki pia wa Kagame. Uadui na Kagame ulianza alipokosoa mambo katika uendeshaji wa nchi.
Paul Rusesabagina ambae alikuwa raia wa Rwanda/Belgium alikimbia nchi na kujiunga na upinzani. Amehukumiwa miaka 25 jela kwa makosa ya kubambikiwa.
hicho kilikua kisingizio lakini ukweli nikwamba alikua ameenda kuonana na majeshi yake yaliyo kua huko burundiYaani anajiingiza kwny Vita huku hajui mbinu za kiinteligensia,hivi kwa umaskini ilionao Burundi Ni kanisa gani linaweza ku afford kumtumia private jet huyo jamaa ya kumpeleka Burundi?
Rusesabagina alilewa sifa za kujibambikia,na akafikiri anaweza kuingia rwanda kwa nguvu,sasa kagonga mwamba pole zakePole sana kwa kuhangaika sana kumsafisha PAKA kwa propaganda mfu alizochapisha na labda kuwagawia mwenyewe.
PAKA ametapakaa DAMU ya hata ya waliowahi kuwa washikaji wake. Ili kutisha na kujihami, anaandama na kusakama kila mtu hata wanaojitokeza kugombea urais. Hataki kabisa kusikia mawazo tofauti/mbadala kutoka kwa yeyote. Ni dhalimu asie na soni kabisa.
PAKA ndie alikuwa chanzo cha balaa ya mauaji ya kimbari , uchunguzi umeonyesha kuwa ndie alifyatua kombora lililoangusha ndege iliyokuwa imembeba Rais Habyarimana. Wahutu nao kwa chuki walizo kuwa nazo kati yao kwa muda mrefu wakainuka kulipa kisasi.
Aisee miaka 25 usawa huu...!
Hatari sana.
FBI na ubelgiji wapi na wapi ndugu???Achana na mambo ya fiction hapa, waliokuwepo kwenye hotel ndio wanajua ukweli kua walikaa kwenye hiyo hotel kwa pesa zao sio kwa huruma ya Paul,ari wa charge waliokosa waliyolewa out. Mambo ya hiyo Fiction movie tuachane nayo ilikua ujanja wake kujitangaza na kutafta pesa,turudi kwenye issue ya Ugaidi hapa.
Mnarukia taarifa tu sijui siasa sijui nini! Hamkua na taarifa youote kuhusu huyu jamaa tangu akatwe leo ndio mme copy kwenye media za mabeberu kuhusu hukumu yake. Rusesabagina issue yake yote aliyo kuwa akiyafanya FBI wanayajua,transactions zote alizo kuwa akituma kwa watu tofauti,nchi tofauti wanajua yani evidence zote zipo. Upererezi wa Ubelgiji wanajua maana walishilikiana na RIB ya Rwanda ku mu search huko nyumbani kwake Ubeligiji,na nyaraka zote za ushahidi zipo FBI wanazo,Ubeligiji wanazo,RIB ya Rwanda wanazo. So lilikua swala la mda tu ku mnasa.
Basic evidence ziko hapa[emoji116]
View attachment 1947596