Achana na mambo ya fiction hapa, waliokuwepo kwenye hotel ndio wanajua ukweli kua walikaa kwenye hiyo hotel kwa pesa zao sio kwa huruma ya Paul,ari wa charge waliokosa waliyolewa out. Mambo ya hiyo Fiction movie tuachane nayo ilikua ujanja wake kujitangaza na kutafta pesa,turudi kwenye issue ya Ugaidi hapa.
Mnarukia taarifa tu sijui siasa sijui nini! Hamkua na taarifa youote kuhusu huyu jamaa tangu akatwe leo ndio mme copy kwenye media za mabeberu kuhusu hukumu yake. Rusesabagina issue yake yote aliyo kuwa akiyafanya FBI wanayajua,transactions zote alizo kuwa akituma kwa watu tofauti,nchi tofauti wanajua yani evidence zote zipo. Upererezi wa Ubelgiji wanajua maana walishilikiana na RIB ya Rwanda ku mu search huko nyumbani kwake Ubeligiji,na nyaraka zote za ushahidi zipo FBI wanazo,Ubeligiji wanazo,RIB ya Rwanda wanazo. So lilikua swala la mda tu ku mnasa.
Basic evidence ziko hapa[emoji116]
View attachment 1947596