Mashtaka ya Ugaidi: Shujaa wa 'Hotel Rwanda', Paul Rusesabagina akutwa na hatia. Ahukumiwa kifungo cha miaka 25

Inasemekana,ilisikika,wanasemaga....maneno meeeengi ๐Ÿ˜„๐Ÿ˜„๐Ÿ˜„๐Ÿ˜„
Nikuite bulaza ama nikuite buloo pls soma vizuri historia ya Rwanda muanzilishi ama founder wa RPF Fred Rwigema ambaye alimpika huyu PAKA
yasemekana wakati wanaelekea kuitwaa Rwanda jamaa alimmaliza....now he is the only landlord in Rwandiz
 
๐Ÿ˜„๐Ÿ˜„๐Ÿ˜„ Mimi sio wa kuisoma historia yao.Nijua nje ndani,labda Kama Kuna sehemu hujaielewa uniambie wapi hukuielewa nikusaidie blaza.

BTW RPF ilitokana na Rwandese Alliance for National Unity (RANU) founders wake wakiwa Rwigyema na Kagame.
 
hivi wewe ni kichaa.??

unasema tume copy kwa mabeberu, hao FBI na Belgium sio mabeberu.??

unasema watu walilipia kuhifadhiwa na Paul hotelini, hao watu si wangejitokeza waseme kipindi ambacho Paul anapewa sifa zote hizo.??

mtu mmoja alijitolea kuhifadhi watu wasichinjwe kitu ambacho hata kanisa katoriki lilishindwa we unaleta nyege zako hapa..

Haya na hawa walifadhiri ugaidi gani.?????????View attachment 1949399View attachment 1949400
View attachment 1949402View attachment 1949403
Hata shetan alikua malaika huko mbinguni! Kufanya mazuri haikupi kinga kuwa ukifanya uhalifu utaachwa.
 
๐Ÿ˜„๐Ÿ˜„๐Ÿ˜„ Mimi sio wa kuisoma historia yao.Nijua nje ndani,labda Kama Kuna sehemu hujaielewa uniambie wapi hukuielewa nikusaidie blaza.

BTW RPF ilitokana na Rwandese Alliance for National Unity (RANU) founders wake wakiwa Rwigyema na Kagame.
Ahana na wajinga!
 
๐Ÿ˜„๐Ÿ˜„๐Ÿ˜„ Nyamwasa sijui ana hali gani huko.
Si amejaribu akasaidiwa na m7 ikagoma! Wakaona waanze kamakata wanyarwanda nchini uganda kwa kisingizio eti wowe ni ma spy,yani m7 anazeeka vibaya,eti atamsaidia aitoe serkali ya kagame waweke ya kwao itayo msikiliza ye.
 
Uongo mtupu,jamaa alikua anachukua hela za watu ndio anawahifadhi ambao hawana anawatoa hotelini wanaenda kupigwa mapanga na interahamwe hapo nje ya geti la hoteli,soma kitabu kinaitwa INSIDE THE HOTEL RWANDA mashuhuda waliokua humo hotelini wanaelezea kilichokua kinatokea ndani ya hotel,hata Gen. Dallaire aliyekua boss wa majeshi ya UN Rwanda wkt wanachinjana alisema hii story ya kuokoa watu hotelini Ni uongo mtupu.
Usibishane na vizazi vya interahamwe maana hao sio watanzania!
 
Africa Mashariki ina bahati mbaya sana ya kuwa na madikteta wengi
Democracy yenu iliwaletea nini?bora huyo dictator anafanya makubwa,ona hapa after kutia ndani gaidi wamepewa bonge la deal!.

20210923_113425.png

IMG_20210923_110000.jpg

IMG_20210923_163015.jpg

IMG_20210923_163025.jpg
 
Pole sana kwa kuhangaika sana kumsafisha PAKA kwa propaganda mfu alizochapisha na labda kuwagawia mwenyewe.
PAKA ametapakaa DAMU ya hata ya waliowahi kuwa washikaji wake. Ili kutisha na kujihami, anaandama na kusakama kila mtu hata wanaojitokeza kugombea urais. Hataki kabisa kusikia mawazo tofauti/mbadala kutoka kwa yeyote. Ni dhalimu asie na soni kabisa.
PAKA ndie alikuwa chanzo cha balaa ya mauaji ya kimbari , uchunguzi umeonyesha kuwa ndie alifyatua kombora lililoangusha ndege iliyokuwa imembeba Rais Habyarimana. Wahutu nao kwa chuki walizo kuwa nazo kati yao kwa muda mrefu wakainuka kulipa kisasi.
Huyo unae mtukana ndio anaefanya makubwa kwa sasa na kuaminiwa na kupewa big deal,check after kelele zenu na gazeti za mabeberu mnako toa taarifa potofu.๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿ‘‡ yan kwao ni party after party! Vollyball wanaume na wanawake africa champion imemalizika pale sasa deal lingine limeingia.

20210923_113425.png

IMG_20210923_110000.jpg

IMG_20210923_163015.jpg

IMG_20210923_163025.jpg
 
Inasemekana PAKA alimmaliza Fred Rwigema pia ili atwae madaraka ya chama
Kwa uchunguzi uliofanyika mpaka sasa vidole vyamuelekea PAKA na waliokuwa washikaji wake wa karibu Bayingana na Bunyenyezi ambao ndio walikuwa na Rweigyema mstari wa mbele Oct 1990. Serikali ya PAKA nayo imekuwa ikitoa propaganda mfu juu ya ukweli wa kifo cha shujaa Rwigyema.
 
Jeneral Dallaire aliyekua boss wa majeshi ya UN wkt wa Genocide Rwanda alipoulizwa khs Movie ya Hotel Rwanda alisema:

โ€œI think the only value of โ€˜Hotel Rwandaโ€™ is the fact that it keeps the Rwandan genocide alive, but as far as content, it's Hollywood,โ€ Dallaire said. โ€œWhen people use the term Hollywood in a pejorative way, (itโ€™s because) they produce junk like that.โ€
Hatumshangai
 
Huyo unae mtukana ndio anaefanya makubwa kwa sasa na kuaminiwa na kupewa big deal,check after kelele zenu na gazeti za mabeberu mnako toa taarifa potofu.๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿ‘‡ yan kwao ni party after party! Vollyball wanaume na wanawake africa champion imemalizika pale sasa deal lingine limeingia.

View attachment 1949801

View attachment 1949802

View attachment 1949803

View attachment 1949804
Iddi Amin Dada nae aliandaa na kushiriki Uganda Motor Rally
 
Kwa uchunguzi uliofanyika mpaka sasa vidole vyamuelekea PAKA na waliokuwa washikaji wake wa karibu Bayingana na Bunyenyezi ambao ndio walikuwa na Rweigyema mstari wa mbele Oct 1990. Serikali ya PAKA nayo imekuwa ikitoa propaganda mfu juu ya ukweli wa kifo cha shujaa Rwigyema.
๐Ÿ˜„๐Ÿ˜„๐Ÿ˜„ Uchunguzi huo utakua ulifanywa na interahamwe na FAR.
 
Tangu 1994 mpk leo story Ni hizo hizo za he won't last longer.Sasa sijui longer maana yake Ni miaka mingapi maana jamaa yupo tu anadunda.
My friend don't you forget that PK is but a human being not some imaginary immortal creatures, he, like the rest of us gonna join his MAKER up above-some day.

Now a million dollar question is: should that come to pass, what will happen in Rwanda in absence of omnipotent,omnipresent five star General Mukama Ntare Paul Kagame - mimi siyo mtume wala nabii lakini naona Rwanda bila Kagame hali itakuwa mbaya zaidi ya 1994 genocide - kumbukeni wakimbizi wa Kihutu walio kimbilia kwenye makambi ya Congo DRC na kwengineko,wengi wao walifuatwa kwenye makambi wakauwawa emass, wengine bila shaka walinusurika,sasa hao wamekwisha zaliana kwa wingi na kisumuliwa kikicho tokea kwa wazazi na ndugu zao waliokuwa kwenye makambi ya wakimbizi Congo DRC, huwezi kupuuzia such a massive ticking time bomb-siku moja na wao watarudi Rwanda kwa style ile ile waliotumia jeshi la Kitutsi la Kagame kurudi Rwanda - sijui kwa nini hilo watu wala hawalioni??

PK na viongozi wenzake wanapashwa kujifunza kitu kupitia historia ya Serikali ya kibaguzi ya Africa kusini, makaburu walimiliki jeshi lenye silaha kali likafikia hatuwa ya kutuma majeshi yake kuvamia majirani zake kwa kisingizio cha kuwasaka wapigania Uhuru, si hilo tu, hata jeshi la polisi na majasusi wa kikaburu walifanya mambo ya kutisha na kikatiri kupindukia, bado makaburu wakaona vitisho hivyo na ukatiri wao havitoshi kuwahakikishia usalama wao wa watu wachache kutawala watu wengi ie minority ruling majority - ndio maana makaburu wakaja na plan "B" ya kushirikiana na wana sayansi wa nuclear kutoka Israel kuunda mabom ya thermo nuclear - walifanikiwa kuliuunda lakini walipo jenga a testing rig kwenye jangwa la Kalahali kufanya majaribio ndipo satellite za Urusi zikafanikiwa kupiga picha za ujenzi na kuzisambaza Duniani kote, siri ikafichuka - ndio maana Israel na Makaburu wakahamishia majaribio ya nuclear bomb kwenye continent la Antarctic ili wasigundulike kirahisi.

Sasa mwisho wa siku hizo mbinu zote za vitisho vya makaburu za kutumia jeshi la ulinzi, polisi, majasusi, makomandoo - mbinu hizo zote zilisaidia nini Serikali ya Makaburu - mbona walikubali Black majority ndio watawale/ongoza Serikali ya Afrika Kusini matokeo yake ndio maana Afrika kusini hivi sasa kuna amani ya kudumu - ndio maana nasema akina PK na wenzake gotta lot to learn from them Boers before its too late.
 
Kelele fala ww nyie wauaji tu wote pumbavu zenu na hicho kinchi chenu kama wilaya ya muleba munaoneana wivu na kuuana kama nzi ,pumbavu zenu.
Wanafanyiana unyama huo wa kutisha halafu wanakimbila mkoa wa Kagera kujinusuru - mkiwahoji kwa nini watu wanao zungumza lugha moja, wameoleana na wana utamaduni unao shabihana kabisa ukiwa hoji inakuwaje tena mna chinjana chinjana ovyo kama kuku miaka nenda rudi baada ya wakoloni wa Kibeljiji kuondoka nchini mwenu, binafsi sijawaki kusikia hata Mnyarwanda mmoja aliye wahi kunipatia jibu lenye mshiko, wanabaki wanaji uma uma tu, ukifanya kosa la kuwachia mwanya kidogo wakae pamoja/karibu mauuaji yanarudi pale pale, ni kama kuna laana fulani vile!!!

Siwasemi vibaya actually wengi wao nili bahatika kusoma nao shule ya msingi na Sekondari, nikawasoma kisaikikojia kwa muda mrefu - nikaguduwa kwamba wakiwa ugenini ni watu wastaarabu sana na wakalimu, wengi wao ni very intelligent, wako fluent katika kuzungumza lugha ya Kihaya na Kinyambo, si rahisi kuwatofautisha na wenyeji wa Mkoa wa Kagera - bahati nzuri kiusalama wenyeji wote wa Mkoa wa Kagera wanajua watu wote ambao origin zao si Watanzania, hata kama waliingia mkoani kwenye miaka ya 1940s na 1950s wanajulikana tu - ndio maana hatukushangaa baadhi ya Wanyarwanda walio kuwa wanaishi Karagwe walipo hamuwa kuhama usiku usiku kimya kimya kurudi Rwanda bila ya kuhaga wana kijiji wenzao walio kuwa wanaishi nao zaidi kwa miaka 60+ wakasomeshwa na Serikali ya Tanzania na wengine kupewa ajira ya kudumu Serikalini pamoja na mashirika ya UMMA - ukiwadadisi wenzetu vipi ndio mmekata shauri kukana uraia wa Tanzania kimya kimya wanakujibu we acha tu, tulihamuwa kwenda kumsaidia Jenerali Kagame kujenga Taifa letu, ukiwabana kwa hoja - mbona mlihama Karagwe usiku wa manane bila ya kuaga kama njaa - ukiwabana kwa hoja hiyo wana shindwa kukupatia jibu la maana.
 
Hao sio watu mkuu,mi nimefanya nao kazi miaka 5 najua mwanzo mwisho shughuli zao na upuuzi wao.
Mungu awasaidie tu maana kule sa yoyote kitaamka tena na wale wahutu hicho kisasi walichonacho.
 
My friend don't you forget that PK is but a human being not some imaginary immortal creatures, he, like the rest of us gonna join his MAKER up above-some day.

Now a million dollar question is: should that come to pass, what will happen in Rwanda in absence of omnipotent,omnipresent five star General Mukama Ntare Paul Kagame - mimi siyo mtume wala nabii lakini naona Rwanda bila Kagame hali itakuwa mbaya zaidi ya 1994 genocide - kumbukeni wakimbizi wa Kihutu walio kimbilia kwenye makambi ya Congo DRC na kwengineko,wengi wao walifuatwa kwenye makambi wakauwawa emass, wengine bila shaka walinusurika,sasa hao wamekwisha zaliana kwa wingi na kisumuliwa kikicho tokea kwa wazazi na ndugu zao waliokuwa kwenye makambi ya wakimbizi Congo DRC, huwezi kupuuzia such a massive ticking time bomb-siku moja na wao watarudi Rwanda kwa style ile ile waliotumia jeshi la Kitutsi la Kagame kurudi Rwanda - sijui kwa nini hilo watu wala hawalioni??

PK na viongozi wenzake wanapashwa kujifunza kitu kupitia historia ya Serikali ya kibaguzi ya Africa kusini, makaburu walimiliki jeshi lenye silaha kali likafikia hatuwa ya kutuma majeshi yake kuvamia majirani zake kwa kisingizio cha kuwasaka wapigania Uhuru, si hilo tu, hata jeshi la polisi na majasusi wa kikaburu walifanya mambo ya kutisha na kikatiri kupindukia, bado makaburu wakaona vitisho hivyo na ukatiri wao havitoshi kuwahakikishia usalama wao wa watu wachache kutawala watu wengi ie minority ruling majority - ndio maana makaburu wakaja na plan "B" ya kushirikiana na wana sayansi wa nuclear kutoka Israel kuunda mabom ya thermo nuclear - walifanikiwa kuliuunda lakini walipo jenga a testing rig kwenye jangwa la Kalahali kufanya majaribio ndipo satellite za Urusi zikafanikiwa kupiga picha za ujenzi na kuzisambaza Duniani kote, siri ikafichuka - ndio maana Israel na Makaburu wakahamishia majaribio ya nuclear bomb kwenye continent la Antarctic ili wasigundulike kirahisi.

Sasa mwisho wa siku hizo mbinu zote za vitisho vya makaburu za kutumia jeshi la ulinzi, polisi, majasusi, makomandoo - mbinu hizo zote zilisaidia nini Serikali ya Makaburu - mbona walikubali Black majority ndio watawale/ongoza Serikali ya Afrika Kusini matokeo yake ndio maana Afrika kusini hivi sasa kuna amani ya kudumu - ndio maana nasema akina PK na wenzake gotta lot to learn from them Boers before its too late.
Aiseee huu Muda wa kuandika hili gazeti ingekua umeshatupia kimoja Cha mkono hapo.
 
Back
Top Bottom