My friend don't you forget that PK is but a human being not some imaginary immortal creatures, he, like the rest of us gonna join his MAKER up above-some day.
Now a million dollar question is: should that come to pass, what will happen in Rwanda in absence of omnipotent,omnipresent five star General Mukama Ntare Paul Kagame - mimi siyo mtume wala nabii lakini naona Rwanda bila Kagame hali itakuwa mbaya zaidi ya 1994 genocide - kumbukeni wakimbizi wa Kihutu walio kimbilia kwenye makambi ya Congo DRC na kwengineko,wengi wao walifuatwa kwenye makambi wakauwawa emass, wengine bila shaka walinusurika,sasa hao wamekwisha zaliana kwa wingi na kisumuliwa kikicho tokea kwa wazazi na ndugu zao waliokuwa kwenye makambi ya wakimbizi Congo DRC, huwezi kupuuzia such a massive ticking time bomb-siku moja na wao watarudi Rwanda kwa style ile ile waliotumia jeshi la Kitutsi la Kagame kurudi Rwanda - sijui kwa nini hilo watu wala hawalioni??
PK na viongozi wenzake wanapashwa kujifunza kitu kupitia historia ya Serikali ya kibaguzi ya Africa kusini, makaburu walimiliki jeshi lenye silaha kali likafikia hatuwa ya kutuma majeshi yake kuvamia majirani zake kwa kisingizio cha kuwasaka wapigania Uhuru, si hilo tu, hata jeshi la polisi na majasusi wa kikaburu walifanya mambo ya kutisha na kikatiri kupindukia, bado makaburu wakaona vitisho hivyo na ukatiri wao havitoshi kuwahakikishia usalama wao wa watu wachache kutawala watu wengi ie minority ruling majority - ndio maana makaburu wakaja na plan "B" ya kushirikiana na wana sayansi wa nuclear kutoka Israel kuunda mabom ya thermo nuclear - walifanikiwa kuliuunda lakini walipo jenga a testing rig kwenye jangwa la Kalahali kufanya majaribio ndipo satellite za Urusi zikafanikiwa kupiga picha za ujenzi na kuzisambaza Duniani kote, siri ikafichuka - ndio maana Israel na Makaburu wakahamishia majaribio ya nuclear bomb kwenye continent la Antarctic ili wasigundulike kirahisi.
Sasa mwisho wa siku hizo mbinu zote za vitisho vya makaburu za kutumia jeshi la ulinzi, polisi, majasusi, makomandoo - mbinu hizo zote zilisaidia nini Serikali ya Makaburu - mbona walikubali Black majority ndio watawale/ongoza Serikali ya Afrika Kusini matokeo yake ndio maana Afrika kusini hivi sasa kuna amani ya kudumu - ndio maana nasema akina PK na wenzake gotta lot to learn from them Boers before its too late.