Mashuhuda waliohamia Msomera kutoka Ngorongoro wafunguka

Ng'ombe watayabadili hayo mazingira soon. Kama watafuga kisasa ni SAWA.
Wadau wa ufugaji na wana harakati wajitokeze sasa haraka kuwafundisha namna ya kufuga kisasa ili kuokoa madhara
 
Propaganda zinasaidia sana!! Hongereni!!
 
Mkuu mpaka endulen unapajua.
 
Ukitaka kuwajua watoa post maajent wa system. Anatoa post halafu anajijibu na kuwa main speaker! Polie we!
 
Tujipe miaka wataanza kufata malisho km 10 zingine. Shughuli za kibinadamu zina athiri mazingira
 
Lini watarecordiwa wananchi waseme madhara ya wizi wa kura yanavyowaingiza madarakani viongozo wa hovyo hovyo.?
 
Nani ameshawahi kuliona kaburi la mmasai?
Hawa jamaa wanaamini kifo NI mkosi.ikitokea mwenzao kafa Wana hama Hilo eneo
 
Hizo nyasi soon zitaisha then 10KM kama kawaida- na wasipoangalia migogoro na Wazigua ya kukiwa Mazao yao Shambani itakuwa motoo. Zamani kulikuwa na msemo Afe Munu afe Mkwavi!!- hii ni sababu ya mazao kuliwa na ngombe wa Wamasai(wakwavi)! Ishu ya Masai ni kutakiwa kufunzaa njia mbadala ya Ufugaji na sio kutembeza ngombe kwenda Malishoni na pia ishu sio kuhamishwa Ngorongoro- Mkoloni why aliwaacha??Why Wenyewe awakutaka ondoka wenyewe japo kuna wanyama wakali?? Ila nasikia Wenye dunia yao wamepiga stop Kuhamishwa so zoezi lipo njia panda
 
Tujipe miaka wataanza kufata malisho km 10 zingine. Shughuli za kibinadamu zina athiri mazingira
Serikali inatakiwa kuwapa mafunzo na msaada staiki waache kufuga kijima. Majani soon yataisha na watarudi kuleta migogoro na Wenyeji ambao ni wakulima. Pia lazima walitakiwa jua kuwa Ecolojia ya Handeni itabadilika na nini madhara yake kwa vizazi vijavyo vya Handen
 
8l9pk7o979l9ll7i7klmolkkkkolkl8l9lk8kliikokkkkmolkoolkkkkkkkkkkkkkukmkkkkkolllkkkk.7kklumklkkklmmmkimmkkkkkklklkoolkkmkik8klkk
 
Ni shuhuda au ni kibaraka? Madawa hayo kwa nini hayakuweza kutolewa huko Ngorongoro mpaka yasubiri watu walazimishwe kuhamia Msowera? Huo siyo msaada bali ni hongo kufunika ukatili wa serikali hii inayojiita ya 'awamu ya sita' inaofanyia wananchi wa Ngorongoro. Hivi leo wakisema watu wahamishwe Pemba kupisha wawekezaji wa uvuvi ingekubalika? Acheni kudanganya Wamasai wa watu. Uonevu wa kibaguzi ni haramu kwa kila mtu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…