Mashuhuda wasimulia tukio la aliyekuwa akipiga risasi

Mashuhuda wasimulia tukio la aliyekuwa akipiga risasi

Mambo ya dola unayaweka hadharani kwa faida ya nani?

Ukikamatwa utoe ushahidi wa kutosha kwa maelezo yako utalalamika unaonewa.

Kuwa na uhuru wa mitandao si sababu uwe unajua kuelezea kila kitu, ukimya nao ni busara.
Acha kutisha mtu wewe mlalahoi.
Angeuwa wengine hata wafike 10.
Katika watu nawachukia sana dunia hi ni askari kwa sababu zangu binafsi.
Kongole kwa gaidi
 
Uhamiaji wakishirikiana na vyombo vingine vya ulinzi na usalama vinapaswa viwe makini sana na wahamiaji haramu, ambao wanaishi kinyume na sheria, wapo wengi sana maeneo ya DSM, kila kona, msako ufanyike kusafisha watu waovu.
 
Nimesema hivi:

Tukio la leo limeonyesha ni jinsi gani Polisi huwa wanadanganya, wanasema uongo pale wanaposema tulipambana na majambazi tukawaua wote, hakuna Polisi aliyejeruhiwa.

Sasa huwa mnaua majambazi sita leo mtu mmoja amewapiga kirahisi namna hii? Polisi gani wanajipeleka kirahisi hivyo kupigwa risasi?

Mkome kuua watu na kusema uongo, hata kama hao watu ni wahalifu. Leo ndio tumejua uwezo wenu wa kupambana na watu wenye silaha - ni kwamba hamna ujuzi wowote, kazi kuonea raia wasio na silaha.

Na kwako Siro, naona ulikuwa una hamu sana ya kukabiliana na magaidi. Umeona sasa jinsi magaidi wa kweli walivyo, sio hao wa kusingizia unaowasema wewe

Nasikitika kwa wanafamilia waliofiwa, lakini sina ka kusikitika kwa Polisi kama jeshi. You had it coming. Mmeomba magaidi mkampata gaidi wa kweli.
 
Naye Said Kiguta ambaye ni dereva wa gari aina ya Fuso anasema alikuwa anaelekea Posta, ghafla akaona gari yake inayumba ikabidi ashuke na aanze kukimbia.
Hii sentensi ilinichanganya lakini baada ya kusoma hii chini ndiyo nikaelewa.
“Mimi sina hili wala lile, naona gari zinageuza, nikashindwa kujiongeza nikawa naendelea na safari, ghafla gari likaanza kuyumba nikawa najiuliza imekuaje, ndiyo nikasikia mlio wa risasi, kwa hiyo ikanibidi nishuke nikimbie kwa sababu risasi ilipasua tairi ya gari yangu,” amesema.
 
Huyu kama alikua gaidi au jambazi bado napata mashaka,kwanini alikua kindezi ndezi vile ilhali anajua kabisa anapambana tena kwa risasi,alafu sijawai ona gaidi anaacha raia wakiwa hai mbele yake.
Labda sababu ni hii
 
Nawaza labda akili zilimruka mbona alikuwa anarusha risasi hewani badala alenge watu? Police nao shabaha hawana wakashindwa kulenga hata za miguu ili asaidie kwenye upelelezi naona walikuwa wanabahatisha ili tu risasi impate popote
Ilimradi liende
 
Katika hali isiyotarajiwa mtu mmoja amezua taharuki katika eneo la Daraja la Selandar jirani na zilipo ofisi za Ubalozi wa Ufaransa jijini Dar es Salaam leo Jumatano Agosti 25, 2021...
Hawa wasomari bwana
 
Na kama huyu jamaa angetulia trust me wasingekuwa askari wawili tuu... huwaaa nacheka sana polis wanapojimwambafy kuwaa wapo tayar kwa lolote askari hajawahi kwenda range kwa miaka kazaa anapga risasi had 5 ndo anapata target inatia uchungu sana
ni kweli hali ingekuwa mbaya hasa ange lenga na raia ila hatupaswi kucheka bali kusikitika kwa hayo mapungufu yao maana ni hatari kwao na kwa raia pia ila naamini wapo askari weredi pia
 
Na kama huyu jamaa angetulia trust me wasingekuwa askari wawili tuu... huwaaa nacheka sana polis wanapojimwambafy kuwaa wapo tayar kwa lolote askari hajawahi kwenda range kwa miaka kazaa anapga risasi had 5 ndo anapata target inatia uchungu sana
Kwakweli nimeumia sana na inawezekana askari wengi hufa kwenye matukio kama haya kwakuwa hawako fiti ..wanachoweza ni mikwara tu na kusamabaza maandamano
 
Mmeongea mengi mmesahau jambo la msingi sana kwa mfano huyo jama angekuwa na mabomu ingekuaje ? Je shahidi kashauliwa je nani yupo nyuma yake ? Wapo wangapi je wangekuwa watano nini kingetokea kama yeye tuu alivyo kauwa watu wanne je police wanalipi lakujifunza mbele ya ubalozi ambao una uliznzi wakutosha? Nini kifanyike ili kujilinda kwa tukio kubwa zaidi ,tukikaa kizembe tutakuja kuziba shimo la panya kwa mkate
 
Na kama huyu jamaa angetulia trust me wasingekuwa askari wawili tuu... huwaaa nacheka sana polis wanapojimwambafy kuwaa wapo tayar kwa lolote askari hajawahi kwenda range kwa miaka kazaa anapga risasi had 5 ndo anapata target inatia uchungu sana
Unakaa nyuma ya keyboard baada ya kushiba dona lako na kuwaponda walio hatarisha uhai wako, kumbuka risasi sio panga hata mtu ambayo anamafunzo ya kawaida ya bastola, akikutime vizuri hata Commando anamalizwa.
 
Na kama huyu jamaa angetulia trust me wasingekuwa askari wawili tuu... huwaaa nacheka sana polis wanapojimwambafy kuwaa wapo tayar kwa lolote askari hajawahi kwenda range kwa miaka kazaa anapga risasi had 5 ndo anapata target inatia uchungu sana
Ww wakikupa hata rungu utashinda kutumia. Kumbuka range unajiandaa, ila tukio kama Hilo hakuna maandalizi, unastukia puu hata risasi hujaungiza chemba, bro asikwambie mtu Kwa mazingira hayo ya kifo
 
Back
Top Bottom