Supu ya kokoto
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 4,194
- 7,602
Hakuwa gaidi, ni raia we kawaida aliyechoshwa na uonevu wa polisi.Ila huyu Gaidi itakuwa alikuwa amemiss kufa huenda hajafa siku nyingi.
Sasa Gaidi gani anavamia kizembe hivi.
True,angetulia huyu jamaa akawa angle nzuri nakwambia angewamalizaNa kama huyu jamaa angetulia trust me wasingekuwa askari wawili tuu... huwaaa nacheka sana polis wanapojimwambafy kuwaa wapo tayar kwa lolote askari hajawahi kwenda range kwa miaka kazaa anapga risasi had 5 ndo anapata target inatia uchungu sana
Mimi nimechoka kabisaaa.jikoni cha polisi kifutwe.
kiitwe kikosi cha kudhibiti chadema
angalia Yule polissi aliyejipeleka getini ubalozi na kibastola.
alitumia akili gani
Yaani.Mimi nimechoka kabisaaa.
Hivi wangetokea ndani ya ukuta wakatupa ges washawasha mbona wangemkamata kirahisi sana.
Narudia akili za .........00000
Hapo Sawa.Hakuwa gaidi, ni raia we kawaida aliyechoshwa na uonevu wa polisi.
Polisi watatu na mlinzi mmoja alidondosha pale pale. Alijeruhi Askari wengine nane (8).Na kama huyu jamaa angetulia trust me wasingekuwa askari wawili tuu... huwaaa nacheka sana polis wanapojimwambafy kuwaa wapo tayar kwa lolote askari hajawahi kwenda range kwa miaka kazaa anapga risasi had 5 ndo anapata target inatia uchungu sana
Acha kutisha mtu wewe mlalahoi.
Angeuwa wengine hata wafike 10.
Katika watu nawachukia sana dunia hi ni askari kwa sababu zangu binafsi.
Kongole kwa gaidi
Kwakweli nimeumia sana na inawezekana askari wengi hufa kwenye matukio kama haya kwakuwa hawako fiti ..wanachoweza ni mikwara tu na kusamabaza maandamano
Tusijisahaulishe kwa jirani Kenya kipindi cha uvamizi wa maduka ya westigate mall....magaidi wanne tuu(4) waliliimbisha kila aina ya nyimbo jeshi zima LA Kenya....kwa zaidi ya siku tatu...all armed forces of Kenya.
Tusitumie tukio hili kuwabeza polisi wetu,hakika wamejitahidi. Raia kwenye eneo LA tukio nahisi watakuwa walikimbia kuokoa maisha yao(labda) lakini polisi walijitolea nafsi zao kuzuia umwagikaji damu.
Mnacheka labda hamuwajui wasomali vizuri....chekeni maana mmepata platform ya kutolea kila aina ya dhihaka kwa jeshi letu LA polisi.
Jf huwa kila member ni msomi kwa mtazamo lakini mbona mambo hamuyatazami kwa usawa? Elimu yetu lazima itakuwa na shida mahali.
Nao