Suffice to say your treasure is another man's trash.Kama kichwa cha uzi kinavyojieleza hapo juu, hawa ndo mashujaa wa Tanzania ambao kwa vyovyote vile lazima tutakuja kujenga minala yao kwa ajili ya kuwakumbuka. Ni watu waliopambana sana kwa ajili ya Watanzania na wakati ulikuja kuamua kuwa wao ndo walikuwa sahihi pamoja na mateso mengi waliyoyapitia...
Hapana! Kambona hakufeli kwenye sheria. Tena waligraduate pamoja sheria na Marehemu Jaji Mark Bomani.Lakini Kambona alifeli shahada ya sheria ila mengine uliyosema kumhusu Kambona yana ukweli. Ila alikuwa mlimbikizaji Wa Mali sana. Ni kati ya mawaziri waliomiliki nyumba tatu za kupangisha hadi Nyerere akalazimka kuanzisha azimio LA Arusha...
Kama unakubali Oscar Kambona alikuwa shujaa basi ni lazima ukubali kuwa Tundu Antiphas Lissu ni shujaaUmenajisi list yako baada ya kumuweka mzee wa MIGA msaliti wa taifa Tundu Lisu
Hapo safiYani hapo nilijua umemsahau shujaa wetu wa siku zote... TUNDU ANTIPHAS LISSU. Huyu historia haiwezi kumsahau kwa kweli. Mwanaume shupavu asiyeogopa ogopa ujinga ujinga.
Wewe uliyesoma hivyo vitabu tuambie China ni Nchi ya Kipebari au kijamaa?!Nani kakwambia China ni wajamaa??? Rudi kwenye vitabu vyako kajifunze tena??? Hujui hata kuwa makampuni mengi ya kibepari yamewekeza China miaka na miaka?? Hujui makampuni makubwa kama Standard Chartered , Apple, Scania, Mc Donald’s yote for years mitaji yao mikubwa ipo China???
Fuatilia tena historia ya China na uchumi wake ulivyo ndo uje kuongea humu
Tayari NduguMpandishe na Maalim Seif kwa kweli..
Huyu tutamkumbuka kwa uchumia tumbo, yuko tayari watu waumie ili yeye atawale!2. Tundu Lisu namkubali sana ila
kitendo cha kwenda kuwashawishi WAZUNGU watuwekee vikwazo vya Uchumi ili wananchi (walalahoi WATESEKE), huku akitumia lugha ya kuwahadai watanzania eti ni vikwazo vya kumuwekea Magufuli nafikiri ametufanya watanzania wote ni WAJINGA kwa kuwa, wanaokosa huduma muhimu sio Magufuli bali watanzania hasa WALE WA KIPATO CHA CHINI ambao ndio wengi
China ni nchi ya kikomunisti inayofuata uchumi wa Kibepari.Wewe uliyesoma hivyo vitabu tuambie China ni Nchi ya Kipebari au kijamaa?!
Alikuwa wakala kivipi??? Au ndo umeamua kujidhalilisha kuwa una akili ndogo ili great thinkers tukudharau milele!Ushujaa wa lisu ni kuwa wakala wa acacia au? [emoji16][emoji23]
Tumeshitakiwa MIGA?Kama unakubali Oscar Kambona alikuwa shujaa basi ni lazima ukubali kuwa Tundu Antiphas Lissu ni shujaa
Unajua kuna kesi ngapi Tanzania tumeshtakiwa kutokana na sheria mpya ya madini???Tumeshitakiwa MIGA?
Unaishi dunia gani usijue, halafu bado unajiita great thinker, poor small thinker [emoji16] [emoji23]Alikuwa wakala kivipi??? Au ndo umeamua kujidhalilisha kuwa una akili ndogo ili great thinkers tukudharau milele!
Lisu alitudanganya tutashitakiwa na aliapa viapo vyote mapovu yakimtoka eti tutanyolewa bila wembe kumbe ni kibaraka na wakala wa accacia, halafu mjinga mmoja anajitokeza eti shujaa, kwa ushujaa gani alioufanya kwa taifa labda shujaa wa hiyo kampuni [emoji16][emoji23]Tumeshitakiwa MIGA?
Ni vizuri ukajibu swaliUnaishi dunia gani usijue, halafu bado unajiita great thinker, poor small thinker [emoji16] [emoji23]
Kwani hatujashtakiwa?Lisu alitudanganya tutashitakiwa na aliapa viapo vyote mapovu yakimtoka eti tutanyolewa bila wembe kumbe ni kibaraka na wakala wa accacia, halafu mjinga mmoja anajitokeza eti shujaa, kwa ushujaa gani alioufanya kwa taifa labda shujaa wa hiyo kampuni [emoji16][emoji23]
huelewi maana ya shujaa kabisa wewe 🤣 kwa list angeanza Nyerere aliyesababisha leo uitwe mtanzania pili karume aliyesababisha leo tuwe na muungano wa taifa mojaKama kichwa cha uzi kinavyojieleza hapo juu, hawa ndo mashujaa wa Tanzania ambao kwa vyovyote vile lazima tutakuja kujenga minala yao kwa ajili ya kuwakumbuka. Ni watu waliopambana sana kwa ajili ya Watanzania na wakati ulikuja kuamua kuwa wao ndo walikuwa sahihi pamoja na mateso mengi waliyoyapitia....
1. MtikilaKama kichwa cha uzi kinavyojieleza hapo juu, hawa ndo mashujaa wa Tanzania ambao kwa vyovyote vile lazima tutakuja kujenga minala yao kwa ajili ya kuwakumbuka. Ni watu waliopambana sana kwa ajili ya Watanzania na wakati ulikuja kuamua kuwa wao ndo walikuwa sahihi pamoja na mateso mengi waliyoyapitia...