Mashujaa ambao lazima siku moja tutakuja kuwaenzi, hata ipite miaka 100

Mashujaa ambao lazima siku moja tutakuja kuwaenzi, hata ipite miaka 100

Kama kichwa cha uzi kinavyojieleza hapo juu, hawa ndo mashujaa wa Tanzania ambao kwa vyovyote vile lazima tutakuja kujenga minala yao kwa ajili ya kuwakumbuka. Ni watu waliopambana sana kwa ajili ya Watanzania na wakati ulikuja kuamua kuwa wao ndo walikuwa sahihi pamoja na mateso mengi waliyoyapitia...
Mwamba Mbowe
 
huelewi maana ya shujaa kabisa wewe 🤣 kwa list angeanza Nyerere aliyesababisha leo uitwe mtanzania pili karume aliyesababisha leo tuwe na muungano wa taifa moja...
Hujamuelewa mtoa mada,anasema watakao kumbukwa,kwa maana kwasasa bado hamuja ona umuhimu wakuwakukumbuka kama Taifa
 
Lakini Kambona alifeli shahada ya sheria ila mengine uliyosema kumhusu Kambona yana ukweli. Ila alikuwa mlimbikizaji Wa Mali sana. Ni kati ya mawaziri waliomiliki nyumba tatu za kupangisha hadi Nyerere akalazimka kuanzisha azimio LA Arusha...
Kati ya watu walikuwa hawapendi upinzani ni nyerere alijiona bora kuliko wengine,kukubaliana na mawazo ya kuanzisha vyama pinzani ni kutokana na maji kufika shingoni.

Pia usimlinganishe Gaddafi na nyerere,Gaddafi ni another level bro.
 
Kati ya watu walikuwa hawapendi upinzani ni nyerere alijiona bora kuliko wengine,kukubaliana na mawazo ya kuanzisha vyama pinzani ni kutokana na maji kufika shingoni.

Pia usimlinganishe Gaddafi na nyerere,Gaddafi ni another level bro.
Na Maji ya shingo yalimkuta vibaya sana. Hadi akaamua kung’atuka
 
Mkuu..umesema kweli tupu..
Kila nikiirudia ile video aliyovimbiana na polisi pale Nyamongo akiwaambia wakitaka wampige mabomu au wampige risasi lakini pale HAONDOKI..
Nasema huyu ndie haswaa kiboko ya Meko na ma ccm.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Sasa mbona kakimbia vitisho vya kwenye simu?

Huyu mtu wenu ana maigizo sana
 
2. Tundu Lisu namkubali sana ILA
kitendo cha kwenda kuwashawishi WAZUNGU watuwekee vikwazo vya Uchumi ili wananchi (walalahoi WATESEKE), huku akitumia lugha ya kuwahadai watanzania eti ni vikwazo vya kumuwekea Magufuli nafikiri ametufanya watanzania wote ni WAJINGA kwa kuwa, wanaokosa huduma muhimu au watakaoteseka sio Magufuli wala yeye Lisu BALI watanzania hasa WALE WA KIPATO CHA CHINI ambao ndio wengi
Kwani hata bila vikwazo si wanyonge bado wanaonja joto ya jiwe ilhali watawala wakiendelea kujineemesha?.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Sasa mbona kakimbia vitisho vya kwenye simu?

Huyu mtu wenu ana maigizo sana
Kwa sababu Mara ya kwanza mlimtisha na mkampiga kweli risasi 16
 
Back
Top Bottom