Kazi ya Lissu hata sasa inaonekana.Majira yetu yangekuwaje kama siyo Lissu kujitoa mhanga kulikamata "dume la ng'ombe" kwenye mapembe yake na kubilingishana nalo lisipigepige pembe watu.
Jeipiemu wa chatttoPorojo hizo, hamna point hata moja
Mwamba MboweKama kichwa cha uzi kinavyojieleza hapo juu, hawa ndo mashujaa wa Tanzania ambao kwa vyovyote vile lazima tutakuja kujenga minala yao kwa ajili ya kuwakumbuka. Ni watu waliopambana sana kwa ajili ya Watanzania na wakati ulikuja kuamua kuwa wao ndo walikuwa sahihi pamoja na mateso mengi waliyoyapitia...
Mrema doesn’t deserve to be in the list. Mtikila Yes hasa baada ya kupigania mgombea binafsi. Sengondo Mvungi kidogo as hakuna jambo remarkable alilofanya1. Mtikila
2. Sengondo Mvungi
3. Fundikira
4. Mrema
wapo wengi sana kiukweli.
Hujamuelewa mtoa mada,anasema watakao kumbukwa,kwa maana kwasasa bado hamuja ona umuhimu wakuwakukumbuka kama Taifahuelewi maana ya shujaa kabisa wewe 🤣 kwa list angeanza Nyerere aliyesababisha leo uitwe mtanzania pili karume aliyesababisha leo tuwe na muungano wa taifa moja...
Kati ya watu walikuwa hawapendi upinzani ni nyerere alijiona bora kuliko wengine,kukubaliana na mawazo ya kuanzisha vyama pinzani ni kutokana na maji kufika shingoni.Lakini Kambona alifeli shahada ya sheria ila mengine uliyosema kumhusu Kambona yana ukweli. Ila alikuwa mlimbikizaji Wa Mali sana. Ni kati ya mawaziri waliomiliki nyumba tatu za kupangisha hadi Nyerere akalazimka kuanzisha azimio LA Arusha...
😁3. Halima James Mdee ambaye ameondoa mfumo dume Chadema!
Na Maji ya shingo yalimkuta vibaya sana. Hadi akaamua kung’atukaKati ya watu walikuwa hawapendi upinzani ni nyerere alijiona bora kuliko wengine,kukubaliana na mawazo ya kuanzisha vyama pinzani ni kutokana na maji kufika shingoni.
Pia usimlinganishe Gaddafi na nyerere,Gaddafi ni another level bro.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Sasa mbona kakimbia vitisho vya kwenye simu?Mkuu..umesema kweli tupu..
Kila nikiirudia ile video aliyovimbiana na polisi pale Nyamongo akiwaambia wakitaka wampige mabomu au wampige risasi lakini pale HAONDOKI..
Nasema huyu ndie haswaa kiboko ya Meko na ma ccm.
Kwani hata bila vikwazo si wanyonge bado wanaonja joto ya jiwe ilhali watawala wakiendelea kujineemesha?.2. Tundu Lisu namkubali sana ILA
kitendo cha kwenda kuwashawishi WAZUNGU watuwekee vikwazo vya Uchumi ili wananchi (walalahoi WATESEKE), huku akitumia lugha ya kuwahadai watanzania eti ni vikwazo vya kumuwekea Magufuli nafikiri ametufanya watanzania wote ni WAJINGA kwa kuwa, wanaokosa huduma muhimu au watakaoteseka sio Magufuli wala yeye Lisu BALI watanzania hasa WALE WA KIPATO CHA CHINI ambao ndio wengi
Kishika uchumba na Noah zetu ziko wapi?.Tumeshitakiwa MIGA?
Kwa sababu Mara ya kwanza mlimtisha na mkampiga kweli risasi 16[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Sasa mbona kakimbia vitisho vya kwenye simu?
Huyu mtu wenu ana maigizo sana
Pamoja sana nduguKwangu Mimi hii ndiyo mada Bora ya mwezi huu wa December
Kivipi?Acha masihara
Akikujibu nitaggKishika uchumba na Noah zetu ziko wapi?.
Mjomba tumepigwa.
Mkuu alipashwa kujoin lini au waliomtangulia wamemzidi nini?.Joined May 2020. Sishangai Kwa nini umeandika haya?
Id za mwaka huu zote ni za kimkakati. Wengi ni mataga upeo wa kufikiri 0 wamekaa kishabiki tuMkuu alipashwa kujoin lini au waliomtangulia wamemzidi nini?.