Mashujaa ambao lazima siku moja tutakuja kuwaenzi, hata ipite miaka 100

China ni wajamaa. Hicho tu ni kielelezo kuwa yupo duniani kwa bahati mbaya na hana uelewa wowote na mambo ya dunia hii
Hapana.
Huwezi kutotambua mchango wa muundo wao kufikia hapo walipofikia. Sikubaliani na hilo la kuona kwamba mfumo wa 'ubepari'mpe3kee ndio umewezesha nchi zote duniani kuwa na maendeleo waliyonayo. Hili ndilo kosa wengi wa watu wanalofanya, kutegemea propaganda zinazoeneza mfumo huo wa kibepari. Ni kama kuwa 'brainwashed' na kuacha kuwa huru kufikiri.
 
Kwa iyo na wewe unajua kuwa China ni wajamaa?
 
Kwa hiyo wewe unaamini mfumo wao wa 'kikomunist' haukuchangia chochote hadi hapo walipofikia sasa?
Waliamka tu siku moja wakautupilia mbali, wakaanza moja na 'ubepari' na kuwa kama walivyo sasa?
 
Kwa hiyo 'interview' hii ndiyo imebeba sifa kemkem alizomwagiwa hapo juu?

Nakumbuka aliwahi kurudi hapa na kuwa na fursa ya kuelezea mengi aliyokuwa anayasimamia. Je hayo nayo unayo?
Hii ilikuwa fursa nzuri sana kwake kujipambanua kuwa kiongozi mahiri kama ulivyompamba.

Usinielewe vibaya, sina hiana na Kambona, lakini nahoji tu sifa ulizommwagia hapo.
 
Kwa hiyo wewe unaamini mfumo wao wa 'kikomunist' haukuchangia chochote hadi hapo walipofikia sasa?
Waliamka tu siku moja wakautupilia mbali, wakaanza moja na 'ubepari' na kuwa kama walivyo sasa?
Siamini kama ukomunist uliwasaidia popote China kwa uchumi waliokuwa nao sasa ambao ni wa kibepari!!

Kwa nini nasema hivi??
Kwa sababu China hawakuwai kuwa na mapinduzi ya kiuchumi kipindi cha Mao Zedong. Mapinduzi ya China kiuchumi yalitokea kipindi cha Deng Xiaoping ambaye huyu ndo hadi wachina wenyewe wanamtambua kama the father of modern china. China iliyokuja kuonekana kwenye ramani ya dunia kama competitor serious wa West kwenye uchumi
 
Mkuu..umesema kweli tupu.

Kila nikiirudia ile video aliyovimbiana na polisi pale Nyamongo akiwaambia wakitaka wampige mabomu au wampige risasi lakini pale HAONDOKI.

Nasema huyu ndie haswaa kiboko ya Meko na CCM.
Kwamba ni kiboko ya CCM? ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚, hoja hizi sijui huwa mnazitoa wapi tu.
 
Siamini kama ukomunist uliwasaidia popote China kwa uchumi waliokuwa nao sasa ambao ni wa kibepari!!

Kwa nini nasema hivi??
Kwa sababu China hawakuwai kuwa na mapinduzi ya kiuchumi kipindi cha Mao Zedong. Mapinduzi ya China kiuchumi yalitokea kipindi cha Deng Xiaoping ambaye huyu ndo hadi wachina wenyewe wanamtambua kama the father of modern china. China iliyokuja kuonekana kwenye ramani ya dunia kama competitor serious wa West kwenye uchumi
Unajua?
Unafanya kana kwamba Deng alipoingia waChina wakatupa kila kitu walichofanya ndani ya Ukomunisti na kuanza moja na 100% ubepari!
Hata leo kuna ukomunist China unafanya kazi.
Kosa wanalofanya wengi wa wanaoamini kama wewe ni kuamini kuwa kuna 'pure' ubepari, na ' usocialist.
Hakuna kitu kama hicho duniani. Hata ndani ya Marekani penyewe, makao makuu ya ubepari, utakuta 'elements' za usocialist'.
Ila kwa vile ilikuwa ni mapambano ya mifumo miwili, mmoja ndio sasa unajipambanua kuwa ndio unaoweza kupeleka watu peponi.
 
Wenye uwezo wa kuku (kutokuona mbali/kesho) wanapinga uwepo wa LISSU kwenye hiyo list ni wa kupuuza maana wamemezeshwa sumu za za ndiyo mzee, sera za jiwe ,
 
Unajua?
Unafanya kana kwamba Deng alipoingia waChina wakatupa kila kitu walichofanya ndani ya Ukomunisti na kuanza moja na 100% ubepari!
Hata leo kuna ukomunist China unafanya kazi.
Kosa wanalofanya wengi wa wanaoamini kama wewe ni kuamini kuwa kuna 'pure' ubepari, na ' usocialist.
Hakuna kitu kama hicho duniani. Hata ndani ya Marekani penyewe, makao makuu ya ubepari, utakuta 'elements' za usocialist'.
Ila kwa vile ilikuwa ni mapambano ya mifumo miwili, mmoja ndio sasa unajipambanua kuwa ndio unaoweza kupeleka watu peponi.
Nafikiri hoja zangu hujazielewa. Hoja yangu kuu ni kuwa bila China ku adopt uchumi wa kibepari kamwe wasingefika hapa walipofikia wewe!!

Hayo mengine unayasema wewe na still yako subject to mjadala ambao ni mpana zaidi
 
Kwa nini unamashaka na uwezo wa uelewa wangu?
Kwa sababu nashindwa kuelewa how comes umeshindwa kugundua how Kambona was a great thinker kwa hicho kipande cha video cha dk 3 tu???
Kama hufanyi makusudi basi huelewi wako wa kiingereza hauko sawa!!
 
Nafikiri hoja zangu hujazielewa. Hoja yangu kuu ni kuwa bila China ku adopt uchumi wa kibepari kamwe wasingefika hapa walipofikia wewe!!

Hayo mengine unayasema wewe na still yako subject to mjadala ambao ni mpana zaidi
Na bado hujasema ubepari wa China sio ule wa Marekani! Kwa hiyo usifanye mambo yaonekane rahisi kuliko yalivyo.
 
Kwa sababu nashindwa kuelewa how comes umeshindwa kugundua how Kambona was a great thinker kwa hicho kipande cha video cha dk 3 tu???
Kama hufanyi makusudi basi huelewi wako wa kiingereza hauko sawa!!
Eeenh Heee, 'Lord', unafikia hata kuhoji uelewa wangu wa kiingereza? Sawa Bwana.

Lakini hata hivyo sikubaliani nawe kuwa unaweza ku'judge' mtu kuwa "Great thinker" kwa maneno aliyosema kwa dakika tatu tu!

Utakuwa una sababu nyingine kwa mapenzi mengi kiasi unachommwagia hapa. Sisi wengine sababu hizo hatuzijui.
 
Back
Top Bottom