Mashujaa ambao lazima siku moja tutakuja kuwaenzi, hata ipite miaka 100

Tundu lisu kazuiaje misaada wakati sisi ni matajiri na ni donor country?
 
Bila kumtaja Jemedari chrispin chi-sika suka Manyonyi siwaelewi.
 
Kwa nini unamuita Oscar Kambona shujaa?!
 
Lumumba wanajua hayo? Wao Kila kitu wamekariri
 
Wengine ni pamoja na Halima James Mdee
Ester Matiko
Ester Bulaya
Nusrat Hanje
Mama bBjiku kwa kuwapigania Wanawake Tanzania[emoji16]

Hawa sasa hivi wametusaliti mi namwongeza FREEMAN AIKAEL MBOWE!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…