Mashujaa Day Kenya 2019

Tutaanza na wewe supporter wa Shabaab. Tutakupasua kichwa uwe funzo kwa wengine.
Wapi Wewe, wote nyie ni mashujaa kwenye keyboard. Vile vijamaa vikisema "Allah Akbar " mnatangaza wiki ya maombolezo...πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
tupiamo tu mkuu....mashababi huwa yanajilipua, tunafagia na kuendeleea...πŸ˜€πŸ™„

Hapo Mambasani mambo vipi lakini, mngetupiamo tuone yanayoendelea, tunawaona kwa TV japo kama kawa TV huwa hainogi.
Hii picha ya jana ilionyesha Navy wana mbwembwe fulani wamepanga kuwaonyesha

Hapo Mambasani mambo vipi lakini, mngetupiamo tuone yanayoendelea, tunawaona kwa TV japo kama kawa TV huwa hainogi.
Hii picha ya jana ilionyesha Navy wana mbwembwe fulani wamepanga kuwaonyesha

hehe ndo tamasha limenogaaa hukuuu!! πŸ˜€ πŸ˜€ 🀜

aiseee nawaona hata askari wa jiji nao wamekatiza maeneo bila kumsahau mzee odinga anayejimwaya mwaya huku jijini!πŸ˜€πŸ˜›πŸ˜Ž
 
Hapo Mambasani mambo vipi lakini, mngetupiamo tuone yanayoendelea, tunawaona kwa TV japo kama kawa TV huwa hainogi.
Hii picha ya jana ilionyesha Navy wana mbwembwe fulani wamepanga kuwaonyesha

Hatutaki mbwembwe tunatka ikitokea real situation muwe mnaisolve kwa uhakika... Haiwezekan unaruhusu raia kibao wanakufa alafu unakuja kuwaoneshe mbwembwe baadae...

Na wewe unajiita mzalendo unakuja hapa unawapaisha.... Sidhan kma ni sawa
 
Uzalendo tanzania maana yake ni kuunga juhudi[emoji1787][emoji1787][emoji1787]wanaopinga wote wapiga dili
Hatutaki mbwembwe tunatka ikitokea real situation muwe mnaisolve kwa uhakika... Haiwezekan unaruhusu raia kibao wanakufa alafu unakuja kuwaoneshe mbwembwe baadae...

Na wewe unajiita mzalendo unakuja hapa unawapaisha.... Sidhan kma ni sawa
 
Jason Dunford (Kenyan swimming legend)

Collins Injera (Kenyan rugby legend.He holds the second place for number of tries scored on the World Rugby Sevens Series with 271)

Let us not forget those who work to build this economy every day.The many men and women who run the Micro, Small and Medium Establishment (MSME). Who inject about 4 trillion shillings into the economy.

My all time favourite Shujaa. Field Marshall Dedan Kimathi Waciuri, 20th Oct. 1920- 18th Feb 1957. R.I.P. 'Twathire oguo tukenete, tugecoka tukenete-ee, rugendo rwitu rwaaare rwega tugithie na tugecoka.'
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…