thisdayes
JF-Expert Member
- Oct 28, 2016
- 3,610
- 4,556
Ukabila! hilo neno hatulijui, Nyerere alilikemea sana. Kenyata yeye alifanya tofauti matokeo yake mnachinjana kila uchaguzi unapo fika. Anyways wewe endelea kusherehekea mashujaa wako wa ki hindi. Peace upUna uhuru wa kuwa na maoni na mtazamo wako binafsi. Ila usilazimishe yawe ni maoni yangu. Alafu the joke is on you, na ukabila wako, hao niliowataja hapo awali sio wajaluo pekee yake, Kando na Pio Gama Pinto ambaye alikuwa mhindi, Kung'u Karumba na Bildad Kagia walikuwa wakikuyu. Wao na wengine, almaarufu kama Kapenguria Six, ndio walitupwa korokoroni na mabeberu, wakiwa pamoja na Jomo Kenyatta. Boss una chochote cha maana cha kuchangia au kazi ni kuingiza tu majungu kwenye historia?