Mashujaa Day Kenya 2019

Mashujaa Day Kenya 2019

My all time favourite Shujaa.
images
Field Marshall Dedan Kimathi Waciuri, 20th Oct. 1920- 18th Feb 1957. R.I.P. 'Twathire oguo tukenete, tugecoka tukenete-ee, rugendo rwitu rwaaare rwega tugithie na tugecoka.'

Dah! That song, umenikumbusha mbali sana....
 
Dah! That song, umenikumbusha mbali sana....
Hizo nyimbo za Mau Mau ukiziimba sana huwa unapandwa na stimu za 'muuma'(kiapo). Babu yangu A.K.A. 'Wakahoreroo' alikuwa shujaa wa Mau Mau. R.I.P. kwa mashujaa wetu wote ambao walijotoa mhanga, wakawacha familia zao nyuma na wakaingia msituni na silaha ili tupate uhuru.
 
Hizo nyimbo za Mau Mau ukiziimba sana huwa unapandwa na stimu za 'muuma'(kiapo). Babu yangu A.K.A., 'Wakahoreroo' alikuwa shujaa wa Mau Mau. R.I.P. kwa mashujaa wetu wote ambao walijotoa mhanga, wakawacha familia zao nyuma na wakaingia msituni na silaha ili tupate uhuru.
37yrs .He was young. RIP
 
37yrs .He was young. RIP
Yes he was, akiwa chini ya miaka 37, Field Marshall Dedan Kimathi Waciuri aliongoza vikosi vya kikombozi vya Mau Mau dhidi ya mkoloni. Aliwahangaisha kwa mtutu wa bunduki hadi wakapanick na kuanza kudondosha mabumu kwenye misitu ya Ml. Kenya na Aberdares. Hadi wakamukea 'bounty' ya hela nyingi na wakamuita 'most wanted terrorist and fugitive in the African and Asian sphere of the British Empire'. May he rest in peace, yeye na mashujaa wenzake wote wa Mau Mau.
 
My all time favourite Shujaa.
images
Field Marshall Dedan Kimathi Waciuri, 20th Oct. 1920- 18th Feb 1957. R.I.P. 'Twathire oguo tukenete, tugecoka tukenete-ee, rugendo rwitu rwaaare rwega tugithie na tugecoka.'

But do the Jubilee Government Remember Him? I guess he had a Family, Kids or Relatives, are the Corrupt uhurutos taking care of him?
 
Ungesema tu unamkubali kwakua ni wa Kabila lako. Unazunguka m'buyu
 
But do the Jubilee Government Remember Him? I guess he had a Family, Kids or Relatives, are the Corrupt uhurutos taking care of him?
His wife Mukami Kimathi is alive, albeit old, but well taken care of. Thanks to Mwai Kibaki and the new constitution.
 
Ungesema tu unamkubali kwakua ni wa Kabila lako. Unazunguka m'buyu
Namkubali kama wakenya wengine wanavomkubali, ila zaidi kwasababu babu yangu alipigana bega kwa bega pamoja naye. Kama ni kuhusu kabila langu nina heritage ya makabila zaidi ya matatu. Lakini hizo ni hadithi za siku nyingine. Nawakubali mashujaa wote wa Kenya, watu kama Kung'u Karumba, Achieng Aneko, Bildad Kagia, Pio Gama Pinto(mhindi), Kipchoge Keino, Tom Mboya, Robert Ouko hadi na mashujaa wa karne ya 19 kama Mekatili Wa Menza na Koitalel Arap Samoei.
 
Wazungu didn’t even go to the Bush, Those black kenyans were responsible capturing and bringing him to Muzungu.
Gikuyu are historical hypocrites
In every war lazima kuwe na traitors ila tulikuwa na njia zetu za ku deal na wao."muma "was an oath of secrecy administered to all Kikuyus and many died for going against it or refusing to take the oath.
 
Wazungu didn’t even go to the Bush, Those black kenyans were responsible capturing and bringing him to Muzungu.
Gikuyu are historical hypocrites
Unaumwa, usijaribu kubadilisha historia. Hebu keti mkao wa kuelimishwa. Wazungu waliingia hadi msituni wakiwatumia waafrika wachache ambao walikuwa wamekubali ukristo.
Maumau481.jpg
Unamuona huyo jamaa hapo kulia, hebu zoom uone kwamba ni mzungu ambaye amejipaka sijui nini ili aonekane kama mwafrika. Hizi zilikuwa zinaitwa 'pseudo-gangs'. Ambapo vikosi vya kijeshi vya mabeberu vilikuwa vinajifanya kwamba ni vya Mau Mau kisha vinaingia msituni kuwawinda Mau Mau wa kweli. Wengi walikufia huko huko msituni kwasababu Mau Mau walikuwa wanatumia 'codes' za siri mno na kiapo ambacho wote walikuwa wamekula. Pia kitengo cha majasusi cha Mau Mau, Komerera, kilikuwa kimepenyeza kwenye ranks za waafrika wakristo ambao walikuwa wanawasaidia mabeberu kuwawinda.
 
In every war lazima kuwe na traitors ila tulikuwa na njia zetu za ku deal na wao."muma "was an oath of secrecy administered to all Kikuyus and many died for going against it or refusing to take the oath.
Jombaa, wakikuyu WOTE, 1.5 million strong, waling'olewa vijijini na mashambani mwao kwa fujo na kwa lazima. 1.5 million! Kwasababu walikataa kuwasaliti na kuwataja Mau Mau na walikuwa wamekula 'muuma', kiapo cha siri cha Mau Mau. Kisha wote wakafungiwa kwenye 'concentration camps' kama zile za Hitler.
hari-articlelarge.jpg
Kambi ambazo zilikuwa ni jela za dhulma na mateso. Waliosalia nje ni wale ambao walikuwa wamekubali ukristo na kuacha dini yao ya jadi. Kati ya familia hizo chache ndio kulitoka 'sympathizers' ambao waliwasaidia mabeberu.
 
Namkubali kama wakenya wengine wanavomkubali, ila zaidi kwasababu babu yangu alipigana bega kwa bega pamoja naye. Kama ni kuhusu kabila langu nina heritage ya makabila zaidi ya matatu. Lakini hizo ni hadithi za siku nyingine. Nawakubali mashujaa wote wa Kenya, watu kama Kung'u Karumba, Achieng Aneko, Bildad Kagia, Pio Gama Pinto(mhindi), Kipchoge Keino, Tom Mboya, Robert Ouko hadi na mashujaa wa karne ya 19 kama Mekatili Wa Menza na Koitalel Arap Samoei.
Okay, Mbona huja mtaja Jomo Kenyata! Hivi kenya Baba wa taifa lenu siyo shujaa wenu. Najua hujamtaja kwa makusudi, ebu niambie kwa nini?
 
Okay, Mbona huja mtaja Jomo Kenyata! Hivi kenya Baba wa taifa lenu siyo shujaa wenu. Najua hujamtaja kwa makusudi, ebu niambie kwa nini?
Sasa nikimtaja siutasema namkubali kwasababu ni mkikuyu? [emoji1] Utakawa mzaramo wewe, kwa kupenda umbea. Hata Kenneth Matiba na John Keen sijawataja pia, mashujaa wa Kenya ni wengi sana.
 
Sasa nikimtaja siutasema namkubali kwasababu ni mkikuyu? [emoji1] Utakawa mzaramo wewe, kwa kupenda umbea. Hata Kenneth Matiba na John Keen sijawataja pia, mashujaa wa Kenya ni wengi sana.
Kwa hiyo hao wajaluo uliowataja umewataja ili unikomeshe!! Anyways mtazamo wako kwa Jomo Kenyata haupishani na wa wakenya wenzako. Ndiyo maana huwaga jina lake aliwekwi Pamoja na kina Nyerere, Mandela, Kwame Nkrumah and the likes.
 
One man's villain is another man's hero! Wote uliotaja bro hawakupendwa na kila mtu. Kwa mfano Mandela wapo Wasauzi wengi tu hawamtambui kama "Hero"
 
Kwa hiyo hao wajaluo uliowataja umewataja ili unikomeshe!! Anyways mtazamo wako kwa Jomo Kenyata haupishani na wa wakenya wenzako. Ndiyo maana huwaga jina lake aliwekwi Pamoja na kina Nyerere, Mandela, Kwame Nkrumah and the likes.
Una uhuru wa kuwa na maoni na mtazamo wako binafsi. Ila usilazimishe yawe ni maoni yangu. Alafu the joke is on you, na ukabila wako, hao niliowataja hapo awali sio wajaluo pekee yake, Kando na Pio Gama Pinto ambaye alikuwa mhindi, Kung'u Karumba na Bildad Kagia walikuwa wakikuyu. Wao na wengine, almaarufu kama Kapenguria Six, ndio walitupwa korokoroni na mabeberu, wakiwa pamoja na Jomo Kenyatta. Boss una chochote cha maana cha kuchangia au kazi ni kuingiza tu majungu kwenye historia?
 
Back
Top Bottom