Mashujaa Day Kenya 2019

Ukabila! hilo neno hatulijui, Nyerere alilikemea sana. Kenyata yeye alifanya tofauti matokeo yake mnachinjana kila uchaguzi unapo fika. Anyways wewe endelea kusherehekea mashujaa wako wa ki hindi. Peace up
 
Kamaliza ukabila na kutengeneza kabila moja kuu...ccm,
Sai imekua km wewe sio ccm unavuliwa uraia hta pia kuitwa shoga
Ukabila! hilo neno hatulijui, Nyerere alilikemea sana. Kenyata yeye alifanya tofauti matokeo yake mnachinjana kila uchaguzi unapo fika. Anyways wewe endelea kusherehekea mashujaa wako wa ki hindi. Peace up
 
Ukabila! hilo neno hatulijui, Nyerere alilikemea sana. Kenyata yeye alifanya tofauti matokeo yake mnachinjana kila uchaguzi unapo fika. Anyways wewe endelea kusherehekea mashujaa wako wa ki hindi. Peace up
Hebu soma uzi wote huu, mwanzo mwisho, uone kama kuna mtu yeyote mwingine ambaye ameibuka na hoja yeyote ile ya kikabila. Isipokuwa wewe na mtz mwenzako game over. Mara hutaki wakikuyu watajwe, waluo pia hutaki kuwasikia, sasa umeruka kwa wahindi. Nyerere angeona aibu, tena sana. Acha unafik na umama, kama haijakupendeza kuona wakenya wakiwakumbuka mashujaa wao, au labda comment ya mtu yeyote ule. Kuna kitu kinaitwa 'ignore and move on'. Sio unaruka ruka tu ovyo ovyo bila formular, kama mchuuza ngono ambaye amepandwa na nyege.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…