Gobole Lenye Risasi
JF-Expert Member
- Oct 31, 2014
- 11,519
- 23,693
Kama huridhiki na TFF, waamuzi, mashabiki, wananchi,serikali,jirani yako,nduguyo,mumeo,rafikiyo,mtotoyo,mzaziyo.
Yanga tuna wanasheria wazuri waone watawaandikia barua CAS utapata haki yako. Mashujaa leo kama hatunaridhika na haya matokeo mi nadhani tuwaone wanasheria wa Yanga wabobezi. Wanasheria wasomi.
Hawa watawanyoosha mikia na wengine wote. Simba watanyang'anywa points zote na watafungiwa kucheza ligi. Nendeni mkashtaki haraka.