Mashujaa waivua nguo Simba Taifa, timu 32 zafuzu simba haimo

Chukwu emeka

JF-Expert Member
Joined
Jan 12, 2018
Posts
24,314
Reaction score
38,919
Kipigo cha 3-2 walichokipata Simba toka kwa Mashujaa ya Kigoma kimewatoa na kuwatupa nje kabisa katika mashindano ya FA.

MIKIA buana, kelele nyingi vitendo 0 😁😁😁

#ASFC Timu zilizofuzu kuingia raundi ya 4 ya 32 bora kwenye michuano ya Kombe la Shirikisho la Azam Sports - ASFC.

1. Yanga SC

2. Stand United

3. Mtibwa Sugar

4. JKT Tanzania

5. Biashara United

6. Mbeya City

7. Azam FC

8. Lipuli FC

9. Singida United

10. Kagera Sugar

11. Coastal Union

12. KMC

13. Alliance FC

14. African Lyon

15. Mbeya Kwanza

16. Kitayosce

17. Dodoma FC

18. Pamba SC

19. Mashujaa FC

20. Dar City

21. Trans Camp

22. Pan African

23. Friends Rangers

24. Rhino Rangers

25. Namungo FC

26. Reha FC

27. Majimaji FC

28. Boma FC

29. Cosmopolitan

30. Polisi Tanzania

31. La Familia

32. Mighty Elephant
 
Husika na kichwa cha habari hapo

Huyu kocha wa Simba ana dharau sana hawezi kutupangia kikosi cha kijinga kama kile. Hizo zote ni dharau kwa mfumo huu Simba hatutafika popote; ligi hatachukua na hata huko Africa tutatolewa mapema sana.

Kwa dharau ya leo tumeumia sana aisee tunachekwa sana. Kumbukeni Simba sio ya kwenu Simba ni ya washabiki, huyu kocha afukuzwe arudishwe kwao atuachie timu yetu wenyewe maana huu ujinga sasa. Wachezaji wote amewaacha anaanzisha wachezaji wa kijinga.

Wana Simba huyu kocha ana dharau na kibaya dharau sio nzuri katika mpira. Kikosi kipana hakuna pale tunataka kikosi cha kwanza kilichoiua Mkana ndo kicheze aisee.
 
Tulihitaji muda wa kujiandaa na kilabu bingwa pia kucheza ligi na hatimae kutwaa ubangwa
 
vyuraaaa katika ubora wenu!! Umeandika as if unakimbizwa! Au unatumia kasimu ka touch. Maneno kibao yana errors hats hayaeleweki " Mara Sumba (sijui ndo simba?) vipi mkuu!!
 

Hiki kikosi mlipocheza na KMC mlimwaga misifa humu kwamba hii ndio maana ya kikosi kipana. Leo mmeona wachezaji mizigo
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…