Husika na kichwa cha habari hapo
Huyu kocha wa Simba ana dharau sana hawezi kutupangia kikosi cha kijinga kama kile. Hizo zote ni dharau kwa mfumo huu Simba hatutafika popote; ligi hatachukua na hata huko Africa tutatolewa mapema sana.
Kwa dharau ya leo tumeumia sana aisee tunachekwa sana. Kumbukeni Simba sio ya kwenu Simba ni ya washabiki, huyu kocha afukuzwe arudishwe kwao atuachie timu yetu wenyewe maana huu ujinga sasa. Wachezaji wote amewaacha anaanzisha wachezaji wa kijinga.
Wana Simba huyu kocha ana dharau na kibaya dharau sio nzuri katika mpira. Kikosi kipana hakuna pale tunataka kikosi cha kwanza kilichoiua Mkana ndo kicheze aisee.