Mashujaa waivua nguo Simba Taifa, timu 32 zafuzu simba haimo

Mashujaa waivua nguo Simba Taifa, timu 32 zafuzu simba haimo

Hakuna lolote unataka kuhamisha magoli tu. Ukweli ni kwamba Simba yenye Kichuya, Chama 'Mwamba Wa Lusaka' imefungwa na timu isiyoeleweka. Yaani simba yenye hao wachezaji imekuwa timu ya ajabu dhidi ya hicho kitimu cha mchangani!? Usitafute sympathy Simba imefungwa
IMG-20181226-WA0003.jpg
 
"Huyu refa wa Leo, Tff wamfukuze.
Haiwezekani aongeze dakika 7 zote mpaka tumefungwa goli" [emoji23] [emoji23]
 
japo walibebwa nyau wale hd dakika ya 103, lakini hawakutoka pumbavu zao, nilcheka pale chama alipopaisha ile freekick ndani ya box.

kweli msiba wa shoga hauna matanga
 
Husika na kichwa cha habari hapo

Huyu kocha wa Simba ana dharau sana hawezi kutupangia kikosi cha kijinga kama kile. Hizo zote ni dharau kwa mfumo huu Simba hatutafika popote; ligi hatachukua na hata huko Africa tutatolewa mapema sana.

Kwa dharau ya leo tumeumia sana aisee tunachekwa sana. Kumbukeni Simba sio ya kwenu Simba ni ya washabiki, huyu kocha afukuzwe arudishwe kwao atuachie timu yetu wenyewe maana huu ujinga sasa. Wachezaji wote amewaacha anaanzisha wachezaji wa kijinga.

Wana Simba huyu kocha ana dharau na kibaya dharau sio nzuri katika mpira. Kikosi kipana hakuna pale tunataka kikosi cha kwanza kilichoiua Mkana ndo kicheze aisee.
Huyu siyo kocha kabisa.Billion 5 bado tunafungwa na watoto wa Kigoma chaa!
 
"Hizi ni HUJUMA, inasemekana Yule refa wa Leo Kamuoa binamu yake Linex wa KASULU"
SHABIKI-SIMBA KINDAKI-NDAKI[emoji23] [emoji23] [emoji41] [emoji115]
 
Simba watapindua Meza, wana 2 za ugenini, mashujaa watakoma wakija mechi ya marudiano.
Kikosi ni kipana.
 
Back
Top Bottom