Mashujaa waivua nguo Simba Taifa, timu 32 zafuzu simba haimo

Acha kujipa moyo we dada ina maana hujui umuhimu wa fa leo? Mbona mapinduzi mnapeleka timu?
Mbona tunakoseana heshima?,me mtani wako?unanijua?..kwanini kulazimisha ugomvi unaoepukika?.kwa hiyo huwezi kuchangia bila KUMUITA MWANAMME DADA?.ndio utaonekana unajua sana si ndio?.
 
hilo kombe tumewaachia bakuli fc.
Sisi tunachukua ligi na CCL.
 
Mbona wa Yanga wakiingia ambao huwa hawachezi wanaipa Yanga matokeo bora.
Yanga wachezaji wanajitambua,Simba wachezaji wameridhika na kwasababu wanasifiwa sifiwa kila siku wanahisi wamefanikiwa sana
 
Ndugu yangu Frank Wanjiru kuna jamaa walikuwa wanakuulizia juzi vp bado wanakusumbua?
 
Huu uzi umeshafungwa tujadili mengine

Thread closed.!
 
Ndemla alicheza mpira mzuri lakini hana bahati ya kuoendwa
 
Sijaweka kiulizo mwisho wa sentensi, maana yake nimeukubali uchambuzi wako kuwa mpira wewe unauelewa.
Asante nimecheza sana mpira wa miguu.
Hapo nilikuwa najaribu kuwafunda vijana wawe na bidii kama timu na washabiki wana waamini.
Wale vijana karibu wote wanajua mpira, tatizo lao ni moja tu, wanamtegemea kocha wao kile anacho wafundisha.
Mchezaji ni lazima ifike wakati ukae chini ujitathimini mafanikio na mapungufu yako.
Halafu uyafanyie kazi wewe binafsi.
Mwangalie K. Ronaldo kwakweli hana kipaji sana cha mpira kama Messi, lakini juhudi binafsi za mazoezi na bidii zimemfikisha hapo alipo.
Uvi kwa sasa wewe kijana mwenye ndoto za kucheza mpira hapa East Afrika unabahatika kusajiriwa na Simba Sports nini tena unataka...!
Jana nimeona uvivu mkubwa wa wachezaji wa Simba. Wanakata pumzi haraka sana na kama mechi ingeendelea Simba ingefungwa goli la nne.
Mchezaji lazima ajifue sana yeye binafsi, kocha anaelekeza tu mambo ya kitaalamu, lakini pumzi na ufundi ni lazima ujitafutie mwenyewe kwa wakati wako. Kama Christian Ronaldo au David Beckham.
Vijana hata kulenga goli inakuwa shida, hebu waangalie clips za Chama watajifunza namna ya kutafakari kidogo kabla ya kupiga mpira golini.
Saidi demla, Rashidi Juma, kazi kwenu, mna kila kitu cha kuwawezesha kuwa Manguli wa Football.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…