Shadeeya
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 49,759
- 118,798
Kufungwa si tatizo tatizo ni kutolewa Swahiba.Matokeo ya kawaida mchezoni hata Barcelona inafungwaga na Getafe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kufungwa si tatizo tatizo ni kutolewa Swahiba.Matokeo ya kawaida mchezoni hata Barcelona inafungwaga na Getafe
Mbona tunakoseana heshima?,me mtani wako?unanijua?..kwanini kulazimisha ugomvi unaoepukika?.kwa hiyo huwezi kuchangia bila KUMUITA MWANAMME DADA?.ndio utaonekana unajua sana si ndio?.Acha kujipa moyo we dada ina maana hujui umuhimu wa fa leo? Mbona mapinduzi mnapeleka timu?
Vipi chama hakucheza? Usijali mkuu ni upepo tu uliwapitia kikosi kipanaMatokeo ya kawaida mchezoni hata Barcelona inafungwaga na Getafe
Mipira iko mingi, wewe unaulizia mpira gani ?Mpira unaujua
Kuna utulivu mkubwa sana😁😁Nimekuja ndugu. Yaani habari ka hizi ni zaidi ya njema sababu mjini leo Shwaaari kabisa. Hakuna kelele za ajabu ajabu. 😂😂😂😂
Apumzike vp mkuu? Bado tunamuhitaji jembe letuaisee kichuya hapana,apumzike
Yanga wachezaji wanajitambua,Simba wachezaji wameridhika na kwasababu wanasifiwa sifiwa kila siku wanahisi wamefanikiwa sanaMbona wa Yanga wakiingia ambao huwa hawachezi wanaipa Yanga matokeo bora.
Nyie mnamapazia tuHii Timu yetu asipocheza Manula ni shida. Dida anadaka kama anaokota taka taka!!!
Sanaaa yaaniKuna utulivu mkubwa sana😁😁
Sijaweka kiulizo mwisho wa sentensi, maana yake nimeukubali uchambuzi wako kuwa mpira wewe unauelewa.Mipira iko mingi, wewe unaulizia mpira gani ?
Ndemla alicheza mpira mzuri lakini hana bahati ya kuoendwaHawa vijana wakikaa benchi wanalalamika, wakipewa nafasi ndio hivyo hawajitumi kabisa.
Simba ina mazingira yote ya kuwezesha kucheza mpira, umri wao bado mdogo.
Simba ya sasa haihitaji wachezaji kama hawa tuliowaona leo.
Wapelekwe hata kwa mkopo kwenye timu nyingine.
Ona Chama anaingia na kupiga faulo vizuri inayosababisha goli la pili.
Kichuya anakimbilia kupiga mpira wa faulo huku akijua kabisa mashuti yake yote hayalengi goli, kwanini hamuachii Kwasi.
Ivi huko mazoezini wanafanya nini ?
Mashuti kumi na moja yote yanatoka nje ?
Hawa vijana wameidhalilisha sana timu ya Simba leo. Yaanii pamoja na stahiki zao zote wanafungwa na wanakijiji ambao hata mshahara hawana. Wanacheza kwa kujitolea tu.
Ni aibu Kwao
[emoji23] [emoji23] hamna timu paleHahaha Mkuu DeepPond hatuwezi umiza wachezaji wetu kwa kikosi kilichotoka Kigoma,wakati tarehe 11 January, tunaanza kukimbizana na miamba hii ya soka,ni uendawazimuView attachment 978560
Asante nimecheza sana mpira wa miguu.Sijaweka kiulizo mwisho wa sentensi, maana yake nimeukubali uchambuzi wako kuwa mpira wewe unauelewa.
Zisi is Mafisi Fc bana hata musemeje walace karia yupo upande wetu mtakoma tu !Hata ile ya nkana walibebwa refa alikuwa hajatenga mpira na leo walitaka hivo mikia buana zis is simbwa