Mungu ibariki Tanzania27 May 2022
UN HQ / Makao ya Umoja wa Mataifa
New York
Mashujaa Watanzania wawili miongoni mwa waliotunukiwa medali ya Dag Hammarskjold
Askari wa Tanzania waliopoteza maisha, Luteni Kanali Christopher Kavalambi na private Mbwana Daudi wametunukiwa na Katibu Mkuu wa UN, Antonio Guterres, medali za heshima za Umoja wa Mataifa UN iitawayo Dag Hammarskjold kwa kujitoa kutumikia Jeshi la Umoja wa Mataifa la Kulinda Amani DR Congo na kupoteza maisha yao katika misheni ya kijeshi mwaka 2021 .
Personnel from UN Peace Operations Posthumously Awarded the Dag Hammarskjòld Medal on 26 May 2022
Chawa Hawawezi kuja , maana waliotunukiwa ni marehemuNgoja waje
27 May 2022
UN HQ / Makao ya Umoja wa Mataifa
New York
Mashujaa Watanzania wawili miongoni mwa waliotunukiwa medali ya Dag Hammarskjold
Askari wa Tanzania waliopoteza maisha, Luteni Kanali Christopher Kavalambi na private Mbwana Daudi wametunukiwa na Katibu Mkuu wa UN, Antonio Guterres, medali za heshima za Umoja wa Mataifa UN iitawayo Dag Hammarskjold kwa kujitoa kutumikia Jeshi la Umoja wa Mataifa la Kulinda Amani DR Congo na kupoteza maisha yao katika misheni ya kijeshi mwaka 2021 .
Personnel from UN Peace Operations Posthumously Awarded the Dag Hammarskjòld Medal on 26 May 2022
Nyingize zinazo, na nyingine hazina. Ila mara nyingi mtu akinunukiwa posthumously huwa familia yake inapewa kifutia machozi fulani.Hivi hizi medali....
Ukitunikiwa, huwa zina ruzuku..??
Yaani familia za wahusika zinapata chochote...??
..Nini kiliwatokea hao askari wetu mpaka wakafariki?
..Pia Luteni Kanali kufariki ktk uwanja wa vita ni tukio kubwa.
..Luteni Kanali mara nyingi huwa ni Mkuu wa Kikosi hivyo mpaka kufikiwa na maadui kwa uelewa wangu sio jambo rahisi.
..Kwa taarifa nilizoziona kwenye mtandao Luteni Kanali Christopher Kavalambi aliwahi kuwa Mkuu wa Kikosi cha 833 kj Oljoro.
...MUNGU amlaze Private Mbwana Daudi mahala pema peponi.
..MUNGU amlaze Luteni Kanali Christopher Kavalambi mahala pema peponi.
Pamoja na medali pia inakitita kirefu sana sana sana.Hivi hizi medali....
Ukitunikiwa, huwa zina ruzuku..??
Yaani familia za wahusika zinapata chochote...??
Mbona hii Mama hakuhudhuria?27 May 2022
UN HQ / Makao ya Umoja wa Mataifa
New York
Mashujaa Watanzania wawili miongoni mwa waliotunukiwa medali ya Dag Hammarskjold
Askari wa Tanzania waliopoteza maisha, Luteni Kanali Christopher Kavalambi na private Mbwana Daudi wametunukiwa na Katibu Mkuu wa UN, Antonio Guterres, medali za heshima za Umoja wa Mataifa UN iitwayo Dag Hammarskjold kwa kujitoa kutumikia Jeshi la Umoja wa Mataifa la Kulinda Amani DR Congo na kupoteza maisha yao katika misheni ya kijeshi mwaka 2021 .
Personnel from UN Peace Operations Posthumously Awarded the Dag Hammarskjòld Medal on 26 May 2022
Hivi mpaka lt col kufikiwa ilikuaje kuaje mbona kama ngumu kuelewa ,.Nb wapumzike kwa amani mashujaa
Huenda ilikuwa shambulizi la kushtukiza.....Nini kiliwatokea hao askari wetu mpaka wakafariki?
..Pia Luteni Kanali kufariki ktk uwanja wa vita ni tukio kubwa.
..Luteni Kanali mara nyingi huwa ni Mkuu wa Kikosi hivyo mpaka kufikiwa na maadui kwa uelewa wangu sio jambo rahisi.
..Kwa taarifa nilizoziona kwenye mtandao Luteni Kanali Christopher Kavalambi aliwahi kuwa Mkuu wa Kikosi cha 833 kj Oljoro.
...MUNGU amlaze Private Mbwana Daudi mahala pema peponi.
..MUNGU amlaze Luteni Kanali Christopher Kavalambi mahala pema peponi.
Vita vya kisasa na silaha za kisasa mpaka magenerali huwa wanafikiwa !! Huko Chad aliuawa Rais wa Nchi kwenye uwanja wa mapambano na alikuwa na Rank kubwa jeshini !!Hivi mpaka lt col kufikiwa ilikuaje kuaje mbona kama ngumu kuelewa ,.Nb wapumzike kwa amani mashujaa
Ni Urusi tu ambako hadi majenerali wanauwawa kwenye frontline. Commanders kama Batallion Commander, Brigade commander au Division commander huwa hawakai msitali wa mbele kiasi cha kuweza kuuwawa. Kwa huyu inawezekana yalikuwa ni mashambulizi (ambush) dhidi ya msafara wake wa kawaida katika kukagua vikosi au ni uvamizi wa ofisi za Makao makuu ya kikosi chake lakini siyo direct combat encounter.
Japo askari wetu waliojufa DRC ni 14, sijui ni kwanini walitunzwa ni wawili tuu?!.27 May 2022
UN HQ / Makao ya Umoja wa Mataifa
New York
Mashujaa Watanzania wawili miongoni mwa waliotunukiwa medali ya Dag Hammarskjold
Askari wa Tanzania waliopoteza maisha, Luteni Kanali Christopher Kavalambi na private Mbwana Daudi wametunukiwa na Katibu Mkuu wa UN, Antonio Guterres, medali za heshima za Umoja wa Mataifa UN iitwayo Dag Hammarskjold kwa kujitoa kutumikia Jeshi la Umoja wa Mataifa la Kulinda Amani DR Congo na kupoteza maisha yao katika misheni ya kijeshi mwaka 2021 .
Personnel from UN Peace Operations Posthumously Awarded the Dag Hammarskjòld Medal on 26 May 2022
Ahudhurie kufanya nini? Kwani na yeye anamwakilisha marehemu yupi?Mbona hii Mama hakuhudhuria?
Jambo kubwa sana hili,ilifaa na kupendeza kuhudhuria ili ajitofautishe na yule ambaye hakutaka kuaga miili ya walinzi wa nchi yetu.Mbona hii Mama hakuhudhuria?
Umeonae! Halafu ingeboresha mahusiano yaliyoharibiwa!!!!Jambo kubwa sana hili,ilifaa na kupendeza kuhudhuria ili ajitofautishe na yule ambaye hakutaka kuaga miili ya walinzi wa nchi yetu.