Mashuleni na Vyuoni ni Kuchafu

Watu wengi ustaarabu ziro kama kitu sio chake hakipi matunzo bora. Hivyo vyoo ukute hata koki walishang'oa ,kunguni wapo wanaotoka nao majumbani kwao
Ni kweli kabisa watu sio wastaarabu tuna safari ndefu. Lakini hivi vyuo vinachukua hatua gani kuhakikisha watu hawaibi makoki? Tatizo la kunguni ni dogo sana, wangekuwa na system ya kuhakikisha wanafanya ukaguzi na kupiga dawa mara kwa mara. Sio wasubiri mpaka kunguni wachukue nafasi bwenini kuliko wanafunzi wenyewe.
 
Ndugu hapa wanafunzi hawawezi kukwepa lawama kwasababu ni watumiaji wa hivi vyoo. Lawama kuu zinaenda kwa uongozi wa chuo, ikifuatiwa na serikali inayotakiwa kusimamia.
 
Upo sahihi sana, ila ndo hivyo bongo mambo yanaenda kimazoea sana..........uwajibikaji upo kwa kiwango duni kutokana na uzembe na low IQ ya wengi.
 
Hapo kwenye usafi wa mtu binafsi ndio balaa lingine lilipo. Hawa wanafunzi hasa wa chuo ni wachafu mnooo sio wastaarabu hata kidogo, bora wa mashuleni wanakaguliwa usafi mara kwa mara.
Watu wachache sana linapokuja swala la usafi wa choo huwa tunahisi halituhusu sisi ila kuna watu kwa minajili hiyo.
Vyuoni
Makanisani
Mashuleni

Tunasafari ndefu sana
 
Eti jamani. Huu mwaka wa 2022 tangu ujio wa Yesu Kristo bado watu wanashindwa kufanya plumbing ya uhakika? Chuo kama UDSM wana vitivo vya uhandisi lakini eti kwenye mabweni yao maji hayapandi ghorofani.
Unaongelea hawa wahandisi wanaoshinda mitandaoni kujitapa wao sio mangwini? Michoro yenyewe wanagoogle hakuna kitu.
 
Yule mhadhiri wa UDSM alisema wanafunzi hawajui kuoga sembuse kwenda kukata gogoz itakuaje🤧🤧
Asee nilifika chuo nilipoenda toi nikutana na GOGO JEUSII TII nikajiuli
kuna siku nikiwa university flani nilienda toi nilikumbana na GOGO JEUSII TII hata hakuna nzi aliyeligusa sasa nikawaza huyu banadamu alikuwa anapiga kiwi utumbo au afu nikawaza atakuwa mtu wa kanda gani aliyedondosha lile ZAGA maana kama kipande cha mpingo, nikawaza sura ya huyo mtu ilikuwaje alipokuwa akifyatua huo mtofali?
 
[emoji23][emoji23][emoji23] itakuwa alikuwa demu huyo

Sent from my Infinix X688C using JamiiForums mobile app
 
Mwaka jana tulitembelea Domeco, nao hostrl zao zina kunguni hadi sio poa.
Vyuon saivi hawasomi Kama sisi zamani tulivyokuwa naona wahusika wameamua kuwafanyia makusudi acha wapigwe pegi sio wanalala tu wakihitimu kichwani utopolo.
 
Poleni sana...

Wazee wenu walisoma kwa tabu sana, nyie mnataka urahisi urahisi...
 
Itabidi wawe kewe vyoo vya matundu
 
Aisee kazi ipo

Sent from my VF-795 using JamiiForums mobile app
 
Nala umeitaja hivyo vyuo vingne umeogopa kuvitaja....na kwanini.. hoja nzuri.. wahusika wajifunze
 
Kipindi nipo Sua nilikuwa hosteli za wami kuna mwamba nilimfuma alikojolea lile sink apale unanawa mikono au kupigia mswaki bafuni

Pia nilichawahi kukuta mavi kwenye sink hilohilo Ina maana ni maksudi na ustaarabu sifuri



Uchafu ni tabia za watu
 
Yule mhadhiri wa UDSM alisema wanafunzi hawajui kuoga sembuse kwenda kukata gogoz itakuaje[emoji1784][emoji1784]
Hivi Taasisi kubwa kama UDSM inashindwa vipi kutoboa mwamba chini, hata kwa bajeti ya Milioni 200 ili wapate maji ya Uhakika full time kuliko kutegemea hivi vimaji vya DAWASA?
 
Yaan tatizo ni kubwa nafkir kuna mengi yanachangia. Kwanza, unakuta wanafunzi wengi hasa waliokulia bush uko anakuja kukutana na choo chaku flash akiwa chuo , ni wachache sn wana adapt na kua wastaarabu otherwise ni disaster.
Pia kwenye taasisi za umma ,yaan kuna ile hali ya "who cares?" Hakuna accountability kuwa tukikuta mazingira yako hv nan awajibishwe . Chuo kinaajir kampun yakufanya usaf ila hakuna mwenye time ya kukagua kiwango cha usaf kinachofanywa hasa mtu akiwa na interest na icho ki company . We got a long way to go .... Nenda Udom, Udsm , Cbe whatever u can name ,ni aibuuuuu . Sijui foreign students kwny vyuo vyetu hua wanatuonajee !!!!
 
Hivi Taasisi kubwa kama UDSM inashindwa vipi kutoboa mwamba chini, hata kwa bajeti ya Milioni 200 ili wapate maji ya Uhakika full time kuliko kutegemea hivi vimaji vya DAWASA?
Na wanazalisha wataalamu wa kutosha. Chuo kipo karibia miaka 60 lakini wanashida ya maji.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…