Mashuleni na Vyuoni ni Kuchafu

Mashuleni na Vyuoni ni Kuchafu

Watu wengi ustaarabu ziro kama kitu sio chake hakipi matunzo bora. Hivyo vyoo ukute hata koki walishang'oa ,kunguni wapo wanaotoka nao majumbani kwao
Ni kweli kabisa watu sio wastaarabu tuna safari ndefu. Lakini hivi vyuo vinachukua hatua gani kuhakikisha watu hawaibi makoki? Tatizo la kunguni ni dogo sana, wangekuwa na system ya kuhakikisha wanafanya ukaguzi na kupiga dawa mara kwa mara. Sio wasubiri mpaka kunguni wachukue nafasi bwenini kuliko wanafunzi wenyewe.
 
Mkuu hata kama una basic hygiene mazingira ni changamoto, umetoka zako lecture room, unatakiwa uwahi seminar, umebanwa haja, faster unaingia toilet unakuta hamna maji, je utaacha kujisaidia? inabidi urundike mzigo juu ya mzigo hivyo hivyo, hahaha😀😀😀😀
Wa kulaumu ni management na sio wanafunzi. Maji yakiwa yanatoka hukuti toilets zinanuka wala mizigo pembeni, management zihakikishe maji yapo full time sehemu za uma kama vyuo, hospital na masoko
Ndugu hapa wanafunzi hawawezi kukwepa lawama kwasababu ni watumiaji wa hivi vyoo. Lawama kuu zinaenda kwa uongozi wa chuo, ikifuatiwa na serikali inayotakiwa kusimamia.
 
Hivi chuoni kunakuwaje na kunguni? Wanashindwaje kupiga dawa kila baada ya muda fulani? Kuna chuo hapa Nala Dodoma wanafunzi wanataka kuhama kwasababu kunguni wamezidi. Wakaguzi, wenye mamlaka, mpo wapi? Mnaacha hizi taasisi zijiendeshe na kufuga uchafu? Au mmeshiba rushwa mpaka mnashindwa kutembea?

Kwenye vyoo sasa ndio utakimbia. Kuna vyuo kadhaa vikubwa hapa nchini ukijichanganya ukaenda chooni kule kwa wanafunzi unaweza usile chakula wiki nzima. Ukiuliza sababu unaambiwa eti hamna maji. Maji yanatoka tu vyoo vya chini ukipanda ghorofa moja maji hayatoki. Hivi hadi huu mwaka wa 2022 mnashindwa kupandisha maji ghorofani na mnasomesha watu wa sayansi na uhandisi? Hii ni AIBU.

Ni muhimu sana hizi taasisi zenye kukutanisha watu wengi zisimamie usafi wa hali ya juu. Kwanzia kwenye chakula, chooni, darasani na maeneo yote. Serikali iache uvivu na blah blah, ifanye kazi yake ya kusimamia hizi taasisi.
Upo sahihi sana, ila ndo hivyo bongo mambo yanaenda kimazoea sana..........uwajibikaji upo kwa kiwango duni kutokana na uzembe na low IQ ya wengi.
 
Hapo kwenye usafi wa mtu binafsi ndio balaa lingine lilipo. Hawa wanafunzi hasa wa chuo ni wachafu mnooo sio wastaarabu hata kidogo, bora wa mashuleni wanakaguliwa usafi mara kwa mara.
Watu wachache sana linapokuja swala la usafi wa choo huwa tunahisi halituhusu sisi ila kuna watu kwa minajili hiyo.
Vyuoni
Makanisani
Mashuleni

Tunasafari ndefu sana
 
Eti jamani. Huu mwaka wa 2022 tangu ujio wa Yesu Kristo bado watu wanashindwa kufanya plumbing ya uhakika? Chuo kama UDSM wana vitivo vya uhandisi lakini eti kwenye mabweni yao maji hayapandi ghorofani.
Unaongelea hawa wahandisi wanaoshinda mitandaoni kujitapa wao sio mangwini? Michoro yenyewe wanagoogle hakuna kitu.
 
Yule mhadhiri wa UDSM alisema wanafunzi hawajui kuoga sembuse kwenda kukata gogoz itakuaje🤧🤧
Asee nilifika chuo nilipoenda toi nikutana na GOGO JEUSII TII nikajiuli
Nakumbuka UDSM vyooni ni shida unakutana na mizigo imerundikwa na inabidi uingie hivyo hivyo, tatizo sio la wanafunzi tatizo ni management, maji ni ya shida sana especially toilets za karibu na seminar rooms kwa udsm alumin mnavijua. Sasa mtu umebanwa haja unaenda toilet hamna maji utafanyaje? inabidi ujisaidie hivyo hivyo. Wa kulaumiwa ni management.
kuna siku nikiwa university flani nilienda toi nilikumbana na GOGO JEUSII TII hata hakuna nzi aliyeligusa sasa nikawaza huyu banadamu alikuwa anapiga kiwi utumbo au afu nikawaza atakuwa mtu wa kanda gani aliyedondosha lile ZAGA maana kama kipande cha mpingo, nikawaza sura ya huyo mtu ilikuwaje alipokuwa akifyatua huo mtofali?
 
[emoji23][emoji23][emoji23] itakuwa alikuwa demu huyo

Sent from my Infinix X688C using JamiiForums mobile app
 
Mwaka jana tulitembelea Domeco, nao hostrl zao zina kunguni hadi sio poa.
Vyuon saivi hawasomi Kama sisi zamani tulivyokuwa naona wahusika wameamua kuwafanyia makusudi acha wapigwe pegi sio wanalala tu wakihitimu kichwani utopolo.
 
Poleni sana...

Wazee wenu walisoma kwa tabu sana, nyie mnataka urahisi urahisi...
 
Nakumbuka UDSM vyooni ni shida unakutana na mizigo imerundikwa na inabidi uingie hivyo hivyo, tatizo sio la wanafunzi tatizo ni management, maji ni ya shida sana especially toilets za karibu na seminar rooms kwa udsm alumin mnavijua. Sasa mtu umebanwa haja unaenda toilet hamna maji utafanyaje? inabidi ujisaidie hivyo hivyo. Wa kulaumiwa ni management.
Itabidi wawe kewe vyoo vya matundu
 
Hivi chuoni kunakuwaje na kunguni? Wanashindwaje kupiga dawa kila baada ya muda fulani? Kuna chuo hapa Nala Dodoma wanafunzi wanataka kuhama kwasababu kunguni wamezidi. Wakaguzi, wenye mamlaka, mpo wapi? Mnaacha hizi taasisi zijiendeshe na kufuga uchafu? Au mmeshiba rushwa mpaka mnashindwa kutembea?

Kwenye vyoo sasa ndio utakimbia. Kuna vyuo kadhaa vikubwa hapa nchini ukijichanganya ukaenda chooni kule kwa wanafunzi unaweza usile chakula wiki nzima. Ukiuliza sababu unaambiwa eti hamna maji. Maji yanatoka tu vyoo vya chini ukipanda ghorofa moja maji hayatoki. Hivi hadi huu mwaka wa 2022 mnashindwa kupandisha maji ghorofani na mnasomesha watu wa sayansi na uhandisi? Hii ni AIBU.

Ni muhimu sana hizi taasisi zenye kukutanisha watu wengi zisimamie usafi wa hali ya juu. Kwanzia kwenye chakula, chooni, darasani na maeneo yote. Serikali iache uvivu na blah blah, ifanye kazi yake ya kusimamia hizi taasisi.
Aisee kazi ipo

Sent from my VF-795 using JamiiForums mobile app
 
Nala umeitaja hivyo vyuo vingne umeogopa kuvitaja....na kwanini.. hoja nzuri.. wahusika wajifunze
 
Kipindi nipo Sua nilikuwa hosteli za wami kuna mwamba nilimfuma alikojolea lile sink apale unanawa mikono au kupigia mswaki bafuni

Pia nilichawahi kukuta mavi kwenye sink hilohilo Ina maana ni maksudi na ustaarabu sifuri

Uchafu ni tabia za watu
 
Yule mhadhiri wa UDSM alisema wanafunzi hawajui kuoga sembuse kwenda kukata gogoz itakuaje[emoji1784][emoji1784]
Hivi Taasisi kubwa kama UDSM inashindwa vipi kutoboa mwamba chini, hata kwa bajeti ya Milioni 200 ili wapate maji ya Uhakika full time kuliko kutegemea hivi vimaji vya DAWASA?
 
Yaan tatizo ni kubwa nafkir kuna mengi yanachangia. Kwanza, unakuta wanafunzi wengi hasa waliokulia bush uko anakuja kukutana na choo chaku flash akiwa chuo , ni wachache sn wana adapt na kua wastaarabu otherwise ni disaster.
Pia kwenye taasisi za umma ,yaan kuna ile hali ya "who cares?" Hakuna accountability kuwa tukikuta mazingira yako hv nan awajibishwe . Chuo kinaajir kampun yakufanya usaf ila hakuna mwenye time ya kukagua kiwango cha usaf kinachofanywa hasa mtu akiwa na interest na icho ki company . We got a long way to go .... Nenda Udom, Udsm , Cbe whatever u can name ,ni aibuuuuu . Sijui foreign students kwny vyuo vyetu hua wanatuonajee !!!!
 
Hivi Taasisi kubwa kama UDSM inashindwa vipi kutoboa mwamba chini, hata kwa bajeti ya Milioni 200 ili wapate maji ya Uhakika full time kuliko kutegemea hivi vimaji vya DAWASA?
Na wanazalisha wataalamu wa kutosha. Chuo kipo karibia miaka 60 lakini wanashida ya maji.
 
Back
Top Bottom