Wordsworth
JF-Expert Member
- Jan 14, 2019
- 1,191
- 3,360
- Thread starter
- #21
Ni kweli kabisa watu sio wastaarabu tuna safari ndefu. Lakini hivi vyuo vinachukua hatua gani kuhakikisha watu hawaibi makoki? Tatizo la kunguni ni dogo sana, wangekuwa na system ya kuhakikisha wanafanya ukaguzi na kupiga dawa mara kwa mara. Sio wasubiri mpaka kunguni wachukue nafasi bwenini kuliko wanafunzi wenyewe.Watu wengi ustaarabu ziro kama kitu sio chake hakipi matunzo bora. Hivyo vyoo ukute hata koki walishang'oa ,kunguni wapo wanaotoka nao majumbani kwao