MwanaHaki
R I P
- Oct 17, 2006
- 2,401
- 707
Kwa Ufupi Mimi Ni
Naishi Wapi - Naishi Dar Es Salaam Napenda Kuhama Hama Kila Baada Ya Miezi 3 Kwahiyo Sina Sehemu Maalumu Ambayo Ninaishi Zaidi Ya Miezi 3
Sasa Na Wewe Niambie Basi Mama Paroko Au Niandikie Katika Pm
Au Piga +255784 360204
Mtu anayependa kuhama hama kila baada ya miezi 3 ana sababu gani ya kufanya hivyo? Kama si kwamba kila anapohamia huwa anakwenda kuwachunguza watu fulani wanaoishi mahali hapo, tena akiwa "undercover" kabisa?
Kwa wale ambao mmetazama sinema za hawa watu ambao ni "spies" mnajua tabia zao...
Kwa mara nyingine tena, Shy anatuthibitishia yeye ni nani.
Ni maneno yake tu... mie nachambua!
./Mwana wa Haki!
LOL 🙂 🙂 🙂
😛