Ertugrul Bey
JF-Expert Member
- Aug 6, 2020
- 14,705
- 30,041
Mtakufa bure kabla ya muda wenu kwa kuwewesekaSijasoma Ila nimehisi ni habari za kumsifia mama yenu tu🤔
Kifo ni kifo tuMtakufa bure kabla ya muda wenu kwa kuweweseka
Sijasoma Ila nimehisi ni habari za kumsifia mama yenu tu
hapo ndipo wananchi wa Iran watatamani walau wangebakia na Iran yao waliyo izoea pamoja na mbanga zake
Huu ndio mwisho ayatolahView attachment 3524510
My people,
Huyu ni mwandishi wa habari na mwanaharakati wa Iran ambaye naye kama alivyo Kimambi anaishi Marekani
Akihojiwa na NBC News anasema familia nyingi za viongozi wakubwa wa Iran wanaishi Marekani,anahoji kama wanawatendea ubaya wananchi wa nchi hiyo basi na familia zao nao zirudi Iran ili wote wateseke
Anasema serikali ya kiislamu ya Iran ni kama Kansa ambayo inaitafuna dunia nzima,anaendelea kusema kwamba wananchi wa Iran sio kwamba tu wanajikomboa wenyewe bali wanaikomboa dunia nzima
Anafurahishwa sana na kauli ya Trump kwamba kama Iran itawaua wananchi wake basi Marekani haitasita kuchukua maamuzi magumu na kuichukulia hatua kali nchi hiyo
Kwa upande wa pili mwandishi wa makala haya Ertugrul bey naye anayakusema:
Pamoja na kwamba siungi mkono harakati nyingi zinavyofanywa na Serikali ya Iran,lakini je Marekani ina mapenzi makubwa na raia wa Iran?
Jibu hapana bali ni kile ambacho wamekuwa wakikipigania miaka yote kwamba Iran inatishia usalama wa mashariki ya Kati
Tena naona sasa ndio wamepata sababu ya uungwaji mkubwa wa wananchi wa Iran,watajifanya wanajali sana hali za wananchi wa Iran lakini behind the curtain wana ajenda yao
Swali ninalo jiuliza je,haya yakitokea hayawezi kuwa kama yaliyotokea Libya?
Hofu yangu huenda yakatokea machafuko makubwa sana na nchi inaweza isitawalike,ukichukulia kwamba bado kutakuwa na watu wenye kutaka IRAN iendelee kuwa na mlengo wa kidini na kuna ambao watataka kuwa nje ya mfumo wa dini au sheria za dini ya kiislamu na kuwa free zaidi
Kiukweli kabisa naona mbeleni huko Iran ambayo itakuwa haina utulivu na iliyojawa na vurugu tele,hapo ndipo wananchi wa Iran watatamani walau wangebakia na Iran yao waliyo izoea pamoja na mbanga zake
Mungu ibariki Mashariki ya Kati na Mungu ibariki Iran
Ni hayo tu!
Ni kweli kuna nyakati lazima yabadilikeSeeds of revolutions are growing everywhere in the world provided there is totalitarians regimes
Upo sahihi lakini yakitokea mambo ambayo ni mabaya zaidi kuliko yale ambayo mmekuwa nayo zamani,lazima ujutie hiloUnakosea kusema nchi WALIYOIZOEA
Unapokuwa huna jinsi haimaanishi UMEZOEA
Hata hapa TZ mfumo kandamizi uliopo toka Nyerere huwezi kusema TUMEZOEA
Matatizo unayazoe vipi ?? Njaa zako na umaskini uliozaliwa nao kwa nn miaka 30 baadae bado unau fight umaskini unatafuta utajiri ? Baki na shida zako ULIZOZIZOEA!!!
Na ndo maana watu hufika mahala wanachafukwa!
Ingekuwa watu WANAZOEA.kukandamizwa kwa nn huwa wanakiwasha ????
Tunapinga na kulaani kuambiwa TUZOEE UKANDAMIZAJI