mbotoro kivoi
JF-Expert Member
- Sep 11, 2017
- 2,018
- 3,009
Golden gate
Kwa sababu Lucifer mwenyewe ndiyo Mwanzilishi wa hiyo Dini....!Quran Haina manuscript,Haina mtiririko wakueleweka ,huwezi kujua historia na matendo ya Musa unayapata wapi,Daudi ,n.k
Huwezi kujua Mungu ana mpango gani na wanadamu
Mambo kama hayo huwezi kuyaona kwa Qura
Vyetu tushaambiwa havina utakatifuNje ya Mada.
Wenzetu wamefanikiwa sana kutunza historia yao.
Sisi tunajua pale Isimila Iringa , kuna kumbukumbu za mababu zetu.
Mifupa na zana za jadi ambazo walitumia maelfu ya miaka . Na nadhan hatuvienz ipasavyo.
Mkuu nilikuwa nikidhani kwamba waislam walijenga makaburi kwenye Hilo gate Kwa minajili kwamba atakapokuja masihi tena aanze kuwafufua wao Kwanza kabla hajaendelea mbele kufanya mambo mengine...Kumbe walikuwa wakipatilia unajisi makusudi.🔹 Si hayo tu kwa hofu ya kuja kwa Masihi wa Kiyahudi kupitia lango hilo, Waislamu waliweka makaburi mbele yake, wakiamini kwamba Kuhani au Masiha hastahili kupita karibu na wafu, kwa kuwa angetia unajisi.(Hakujua kama anatimiza unabii ulioandikwa na Ezekiel zaidi ya miaka 2000 iliyopita)
Lengo lao lilikuwa hilo kupatia unajisi,hata mimi awali nilidhani kuwa Waislamu waliweka makaburi pale Golden Gate ili Masihi awafufue wao kwanza, lakini nilipofuatilia vizuri historia ya lango hilo, niligundua kuwa haikuwa hivyo kabisa.Mkuu nilikuwa nikidhani kwamba waislam walijenga makaburi kwenye Hilo gate Kwa minajili kwamba atakapokuja masihi tena aanze kuwafufua wao Kwanza kabla hajaendelea mbele kufanya mambo mengine...Kumbe walikuwa wakipatilia unajisi makusudi.
Hapo pia kuna kujifunza ... kumbe waislamu walidhani wanafanya lengo lao kumbe wanatekeleza mpango wa Mungu bila wao kujua .Mkuu nilikuwa nikidhani kwamba waislam walijenga makaburi kwenye Hilo gate Kwa minajili kwamba atakapokuja masihi tena aanze kuwafufua wao Kwanza kabla hajaendelea mbele kufanya mambo mengine...Kumbe walikuwa wakipatilia unajisi makusudi.
Sema Amen
Wewe nilikupiga maswali siku ile ukayapita bila kujibu ukajifanya hujayaonaMkuu samahani lakini sijui kwa nini kuna muda nakuona kama una upungufu wa akili
unatumia kigezo kusema yesu alipaa au alipotea au aliyeyuka kwenda mbinguni?
Usiseme maandiko yako nataka utumie akili yako alitoweka vp duniani?
Nililukuwa pori embu nijibu yesu alipaa kama ndege au alipotea au aliyeyuka?Wewe nilikupiga maswali siku ile ukayapita bila kujibu ukajifanya hujayaona
Leo unakuja na porojo
Nililukuwa pori
Kajibu kwanza zile hoja nilizokuuliza pale Kisha TUFANYE mjadala wa kielimuembu nijibu yesu alipaa kama ndege au alipotea au aliyeyuka?
Masahihisho kidogo😀 Hili geti inasemekana kuwa Yesu atakapokuja tena ataingia Jerusalem kwa kupitia huu mlango! Mtawala wa Kiislam wa wakati huo Waislam wanaitawala Israel akaamua kuufunga eti asipite hapo🤣🤣 Yaani anaamini Yesu atarudi ila AANA amini kuwa akiziba huu mlango Yesu atoingia Jerusalem.Katika historia ya wokovu iliyoandikwa ndani ya Maandiko Matakatifu, mojawapo ya maeneo ya kipekee na ya kushangaza sana ni Lango la Mashariki la Yerusalemu, maarufu pia kama Lango la Dhahabu (The Golden Gate).
Lango hili linahusishwa moja kwa moja na kuingia kwa Masihi katika mji mtakatifu wa Yerusalemu, ikiwa ni sehemu ya utimilifu wa unabii wa zamani kuhusu Mfalme atakayekuja kwa jina la Bwana.
Kupitia makala hii, tutachunguza kwa kina unabii wa nabii Ezekieli, ushuhuda wa Yesu alipokuwa akiingia Yerusalemu, na uthibitisho wa kihistoria wa leo hii kuhusu lango hilo lililofungwa kama alivyotabiri nabii wa Mungu miaka mingi kabla ya tukio hilo.
View attachment 3427774
1. Unabii wa Ezekieli kuhusu Lango la Mashariki
Katika kitabu cha Ezekieli, tunakutana na maneno ya ajabu sana kuhusu lango hili
“Ndipo alinileta tena kwa njia ya lango la nje la patakatifu, linalotazama upande wa mashariki; nalo lilikuwa limefungwa. Bwana akaniambia, ‘Lango hili litafungwa; halitafunguliwa, wala mtu yeyote hatapita kulipitia; kwa kuwa Bwana, Mungu wa Israeli, amepita kulipitia; kwa sababu hiyo litafungwa.’”
— Ezekieli 44:1–2
Andiko hili linatangaza wazi kuwa kwa sababu Bwana Mungu wa Israeli (ambaye kwa Wakristo ni Masihi – Yesu Kristo) alipita kupitia lango hilo, basi litafungwa na halitaruhusu mtu yeyote kulipitia tena.(Hilo andiko linathibitisha pia YESU ni Mungu )
View attachment 3427775
2. Yesu Kristo aingia Yerusalemu kupitia Lango hilo
Katika Injili, tunasoma tukio maalum wakati Yesu aliingia Yerusalemu siku chache kabla ya kusulubiwa. Tukio hilo linatambulika ambapo watu walimkaribisha kama Mfalme,Yesu akiwa amepanda mwanapunda
📖 “Siku ya pili, mkutano mkubwa wa watu waliokuja kwenye sikukuu waliposikia kwamba Yesu anaingia Yerusalemu, walichukua matawi ya mitende, wakatoka kwenda kumpokea, wakapaza sauti: ‘Hosana! Amebarikiwa ajaye kwa jina la Bwana, Mfalme wa Israeli!’”
— Yohana 12:12–13(Hii ni miaka zaidi ya 600 baada ya unabii wa EZEKIEL)biblia tamu sana
Katika mila za Wayahudi, siku hiyo ilikuwa ni ya kuchagua wana-kondoo wa Pasaka.
Kwa hiyo, Yesu aliingia Yerusalemu kama Mwana-Kondoo wa Mungu aichukuaye dhambi ya ulimwengu akipitia Lango la Mashariki, lililokuwa njia ya kuingia kwenye Hekalu kutoka Mlima wa Mizeituni.
View attachment 3427776
3. Uthibitisho wa kihistoria kuhusu Lango la Dhahabu
Leo hii, lango hilo bado lipo na limefungwa kabisa kwa mawe.
🔹 Historia inaonesha kwamba mwaka 1541, Sultani Suleiman kutoka Dola ya Kiosmani (Ottoman Empire) alitoa amri ya kulifunga lango hilo kabisa. Tangu wakati huo hadi sasa, halijawahi kufunguliwa tena.
🔹 Si hayo tu kwa hofu ya kuja kwa Masihi wa Kiyahudi kupitia lango hilo, Waislamu waliweka makaburi mbele yake, wakiamini kwamba Kuhani au Masiha hastahili kupita karibu na wafu, kwa kuwa angetia unajisi.(Hakujua kama anatimiza unabii ulioandikwa na Ezekiel zaidi ya miaka 2000 iliyopita)
View attachment 3427778
Hii yote ni uthibitisho halisi na unaoonekana leo kwamba unabii wa Ezekieli umetimia. Hakika, maandiko hayawezi kuvunjwa.
4. Maneno ya Yesu kuhusu uthibitisho wa Maandiko
Yesu alisema:
📖 “Na Maandiko hayawezi kuvunjwa.”
— Yohana 10:35
Kwa maneno haya, Yesu alisisitiza kwamba kila neno lililoandikwa katika Maandiko Matakatifu, hasa yale yanayomhusu, ni lazima litimie.
Hili linadhihirika wazi katika suala la lango la Mashariki – alilopitia kama Masihi na Mungu wa Israel sawa sawa na maneno ya nabii EZEKIEL lililofungwa baadaye kama ishara ya utukufu wa Mungu uliopita njia hiyo.
Wakati baadhi ya watu wanahoji uhalali wa Biblia wakidai kuwa imechakachuliwa, ni muhimu kufahamu kwamba:
📜 Biblia ina maelfu ya manuscript (maandiko ya kale) kama vile:
Dead Sea Scrolls
Codex Sinaiticus
Codex Vaticanus
Manuscript hizi zingine zimeandikwa hata kabla ya Yesu kuzaliwa, na zingine karne chache baada ya huduma yake duniani.
Kwa mujibu wa ulinganifu wa kitaaluma, maandiko ya leo yana zaidi ya 99% kufanana na maandiko hayo ya kale, jambo linalothibitisha uaminifu wa Biblia kama Neno la Mungu.