Masihi alipita hapa: Siri ya lango lililofungwa Yerusalemu

Acha uongo Mzee ,ulikuwepo ukawa uanjibu vingine ,ila niliyokuuliza pale ukakimbia ,Rudi kajibu kule kwanza

Kajibu kwanza zile hoja nilizokuuliza pale Kisha TUFANYE mjadala wa kielimu
Hoja gani mkuu nilikimbia?

kwahiyo hujibu sababu nilikimbia?
nijibu yesu alipaaje na aya zilishushwaje?
nipe elimu mkuu!
 
Mimi na wahuni kama nyie naenda sambamba

Umetoka kusema ulikuwa porini

Gafla unasema hoja gani Tena

Acha utapeli mzee
 
Masahihisho kidogo😀 Hili geti inasemekana kuwa Yesu atakapokuja tena ataingia Jerusalem kwa kupitia huu mlango! Mtawala wa Kiislam wa wakati huo Waislam wanaitawala Israel akaamua kuufunga eti asipite hapo🤣🤣 Yaani anaamini Yesu atarudi ila AANA amini kuwa akiziba huu mlango Yesu atoingia Jerusalem.

The Golden Gate (or Mercy Gate) in Jerusalem is a sealed, ancient eastern gate of the Old City, closed for nearly 500 years to prevent the entry of the Jewish Messiah. While the main structure remains sealed, intense tensions in 2019 led to the reopening of its internal area, Bab al-Rahma, for Muslim worship.
Key Details on the Golden Gate Opening:
Current Status: The main gate remains securely sealed with stone and mortar, last closed by Ottoman Sultan Suleiman the Magnificent in 1541, allegedly to prevent the Messiah from entering.
2019 Reopening: In February 2019, following protests and confrontations with Israeli police, the Bab al-Rahma area (the interior of the gatehouse) was reopened by the Waqf for Muslim prayers, though it has since faced intermittent, contested control.
Waislamu Wana VITUKO sana Hawa jamaa , internet inawaumbua
 
Acha uongo Mzee ,ulikuwepo ukawa uanjibu vingine ,ila niliyokuuliza pale ukakimbia ,Rudi kajibu kule kwanza

Kajibu kwanza zile hoja nilizokuuliza pale Kisha TUFANYE mjadala wa kielimu
Umembana Sana Nadhani Amekosa Pumzi
 
Umembana Sana Nadhani Amekosa Pumzi
Amekuja na swali la kejeli

Kuna siku alikuja na maswali ya kejeli, nikamjibu then nikampa maswali, akawa anayaoita kama maiti wala sikumuuliza

Leo kaja Tena vile vile
 
Maswali gani mkuu?!
halafu mimi sio muhuni nilikuwa pori internet inasumbua kwahiyo ndo sababu ya kushindwa kujibu swali langu?
 
Katika historia ya wokovu iliyoandikwa ndani ya Maandiko Matakatifu, mojawapo ya maeneo ya kipekee na ya kushangaza sana ni Lango la Mashariki la Yerusalemu, maarufu pia kama Lango la Dhahabu (The Golden Gate).

Lango hili linahusishwa moja kwa moja na kuingia kwa Masihi katika mji mtakatifu wa Yerusalemu, ikiwa ni sehemu ya utimilifu wa unabii wa zamani kuhusu Mfalme atakayekuja kwa jina la Bwana.

Kupitia makala hii, tutachunguza kwa kina unabii wa nabii Ezekieli, ushuhuda wa Yesu alipokuwa akiingia Yerusalemu, na uthibitisho wa kihistoria wa leo hii kuhusu lango hilo lililofungwa kama alivyotabiri nabii wa Mungu miaka mingi kabla ya tukio hilo.

View attachment 3427774

1. Unabii wa Ezekieli kuhusu Lango la Mashariki

Katika kitabu cha Ezekieli, tunakutana na maneno ya ajabu sana kuhusu lango hili

“Ndipo alinileta tena kwa njia ya lango la nje la patakatifu, linalotazama upande wa mashariki; nalo lilikuwa limefungwa. Bwana akaniambia, ‘Lango hili litafungwa; halitafunguliwa, wala mtu yeyote hatapita kulipitia; kwa kuwa Bwana, Mungu wa Israeli, amepita kulipitia; kwa sababu hiyo litafungwa.’”
— Ezekieli 44:1–2

Andiko hili linatangaza wazi kuwa kwa sababu Bwana Mungu wa Israeli (ambaye kwa Wakristo ni Masihi – Yesu Kristo) alipita kupitia lango hilo, basi litafungwa na halitaruhusu mtu yeyote kulipitia tena.(Hilo andiko linathibitisha pia YESU ni Mungu )

View attachment 3427775

2. Yesu Kristo aingia Yerusalemu kupitia Lango hilo

Katika Injili, tunasoma tukio maalum wakati Yesu aliingia Yerusalemu siku chache kabla ya kusulubiwa. Tukio hilo linatambulika ambapo watu walimkaribisha kama Mfalme,Yesu akiwa amepanda mwanapunda

📖 “Siku ya pili, mkutano mkubwa wa watu waliokuja kwenye sikukuu waliposikia kwamba Yesu anaingia Yerusalemu, walichukua matawi ya mitende, wakatoka kwenda kumpokea, wakapaza sauti: ‘Hosana! Amebarikiwa ajaye kwa jina la Bwana, Mfalme wa Israeli!’”
— Yohana 12:12–13(Hii ni miaka zaidi ya 600 baada ya unabii wa EZEKIEL)biblia tamu sana

Katika mila za Wayahudi, siku hiyo ilikuwa ni ya kuchagua wana-kondoo wa Pasaka.

Kwa hiyo, Yesu aliingia Yerusalemu kama Mwana-Kondoo wa Mungu aichukuaye dhambi ya ulimwengu akipitia Lango la Mashariki, lililokuwa njia ya kuingia kwenye Hekalu kutoka Mlima wa Mizeituni.

View attachment 3427776

3. Uthibitisho wa kihistoria kuhusu Lango la Dhahabu

Leo hii, lango hilo bado lipo na limefungwa kabisa kwa mawe.

🔹 Historia inaonesha kwamba mwaka 1541, Sultani Suleiman kutoka Dola ya Kiosmani (Ottoman Empire) alitoa amri ya kulifunga lango hilo kabisa. Tangu wakati huo hadi sasa, halijawahi kufunguliwa tena.
🔹 Si hayo tu kwa hofu ya kuja kwa Masihi wa Kiyahudi kupitia lango hilo, Waislamu waliweka makaburi mbele yake, wakiamini kwamba Kuhani au Masiha hastahili kupita karibu na wafu, kwa kuwa angetia unajisi.(Hakujua kama anatimiza unabii ulioandikwa na Ezekiel zaidi ya miaka 2000 iliyopita)
View attachment 3427778

Hii yote ni uthibitisho halisi na unaoonekana leo kwamba unabii wa Ezekieli umetimia. Hakika, maandiko hayawezi kuvunjwa.

4. Maneno ya Yesu kuhusu uthibitisho wa Maandiko

Yesu alisema:
📖 “Na Maandiko hayawezi kuvunjwa.”
— Yohana 10:35

Kwa maneno haya, Yesu alisisitiza kwamba kila neno lililoandikwa katika Maandiko Matakatifu, hasa yale yanayomhusu, ni lazima litimie.

Hili linadhihirika wazi katika suala la lango la Mashariki – alilopitia kama Masihi na Mungu wa Israel sawa sawa na maneno ya nabii EZEKIEL lililofungwa baadaye kama ishara ya utukufu wa Mungu uliopita njia hiyo.

Wakati baadhi ya watu wanahoji uhalali wa Biblia wakidai kuwa imechakachuliwa, ni muhimu kufahamu kwamba:

📜 Biblia ina maelfu ya manuscript (maandiko ya kale) kama vile:

Dead Sea Scrolls

Codex Sinaiticus

Codex Vaticanus

Manuscript hizi zingine zimeandikwa hata kabla ya Yesu kuzaliwa, na zingine karne chache baada ya huduma yake duniani.

Kwa mujibu wa ulinganifu wa kitaaluma, maandiko ya leo yana zaidi ya 99% kufanana na maandiko hayo ya kale, jambo linalothibitisha uaminifu wa Biblia kama Neno la Mungu.
Biblia ni kitabu Cha ajabu mno, Kila Kilichopo duniani na kinachotendeka / kitachotendeka duniani. Biblia imekiandika kazi Yako tu kusoma na kuelewa.
 
Umembana Sana Nadhani Amekosa Pumzi
Amenibana wapi pimbi kiazi huyo pimbi mwenzio anatumia AI kunijibu ndo maana nampuuza

Aje kavu kavu yaani uokoteze madude huko ya AI uje unibane nayo mimi binadamu?

kama anaweza twende nae freesytle poa!
 
Amenibana wapi wapi pimbi kiazi huyo pimbi mwenzio anatumia AI kunijibu ndo maana nampuuza

Aje kavu kavu yaani uokoteze madude huko ya AI uje unibane nayo mimi binadamu?

kama anaweza twende nae freesytle poa!
Nadhani Mkuu Wewe Kuna Mahala Una Tatizo
Maneno Kama Pimb* Ni Kuonyesha Dharau Ambazo Hata Sababu Haipo
 
Kwa hiyo pimbi ni dharau wewe ukiitwa simba ni dharau?
wote hao ni wanyama kama wewe..

Wewe umesema 'nimebanwa' kwangu hilo ni kama tusi pimbi wee!
 
Amenibana wapi pimbi kiazi huyo pimbi mwenzio anatumia AI kunijibu ndo maana nampuuza

Aje kavu kavu yaani uokoteze madude huko ya AI uje unibane nayo mimi binadamu?

kama anaweza twende nae freesytle poa!
Lini nimejibushana na wewe?

Acha uongo Mzee, nilikupiga maswali ukayapita kama unaaga mait

Kama unanipuuza kipi kimekuleta Leo

Ulijua siku ile nimesahau
 
Mkuu unazingua na unapenda ligi za kitoto
hii ni mada nyingine na hiyo unayosema nimekimbia ni mada nyingine
nijibu swali langu kwenye mada hii!
 
Hahaaa ulidhani nimesahau ,kama ulikimbia basi nilikuacha kiporo

Mimi nimeishi mission na wahuni kwa miaka 12

Ukirudi kule ukajibu zile hoja nitajua upo serious na mijadala
 
Katika historia ya wokovu iliyoandikwa ndani ya Maandiko Matakatifu, mojawapo ya maeneo ya kipekee na ya kushangaza sana ni Lango la Mashariki la Yerusalemu, maarufu pia kama Lango la Dhahabu (The Golden Gate).

Lango hili linahusishwa moja kwa moja na kuingia kwa Masihi katika mji mtakatifu wa Yerusalemu, ikiwa ni sehemu ya utimilifu wa unabii wa zamani kuhusu Mfalme atakayekuja kwa jina la Bwana.

Kupitia makala hii, tutachunguza kwa kina unabii wa nabii Ezekieli, ushuhuda wa Yesu alipokuwa akiingia Yerusalemu, na uthibitisho wa kihistoria wa leo hii kuhusu lango hilo lililofungwa kama alivyotabiri nabii wa Mungu miaka mingi kabla ya tukio hilo.

View attachment 3427774

1. Unabii wa Ezekieli kuhusu Lango la Mashariki

Katika kitabu cha Ezekieli, tunakutana na maneno ya ajabu sana kuhusu lango hili

“Ndipo alinileta tena kwa njia ya lango la nje la patakatifu, linalotazama upande wa mashariki; nalo lilikuwa limefungwa. Bwana akaniambia, ‘Lango hili litafungwa; halitafunguliwa, wala mtu yeyote hatapita kulipitia; kwa kuwa Bwana, Mungu wa Israeli, amepita kulipitia; kwa sababu hiyo litafungwa.’”
— Ezekieli 44:1–2

Andiko hili linatangaza wazi kuwa kwa sababu Bwana Mungu wa Israeli (ambaye kwa Wakristo ni Masihi – Yesu Kristo) alipita kupitia lango hilo, basi litafungwa na halitaruhusu mtu yeyote kulipitia tena.(Hilo andiko linathibitisha pia YESU ni Mungu )

View attachment 3427775

2. Yesu Kristo aingia Yerusalemu kupitia Lango hilo

Katika Injili, tunasoma tukio maalum wakati Yesu aliingia Yerusalemu siku chache kabla ya kusulubiwa. Tukio hilo linatambulika ambapo watu walimkaribisha kama Mfalme,Yesu akiwa amepanda mwanapunda

📖 “Siku ya pili, mkutano mkubwa wa watu waliokuja kwenye sikukuu waliposikia kwamba Yesu anaingia Yerusalemu, walichukua matawi ya mitende, wakatoka kwenda kumpokea, wakapaza sauti: ‘Hosana! Amebarikiwa ajaye kwa jina la Bwana, Mfalme wa Israeli!’”
— Yohana 12:12–13(Hii ni miaka zaidi ya 600 baada ya unabii wa EZEKIEL)biblia tamu sana

Katika mila za Wayahudi, siku hiyo ilikuwa ni ya kuchagua wana-kondoo wa Pasaka.

Kwa hiyo, Yesu aliingia Yerusalemu kama Mwana-Kondoo wa Mungu aichukuaye dhambi ya ulimwengu akipitia Lango la Mashariki, lililokuwa njia ya kuingia kwenye Hekalu kutoka Mlima wa Mizeituni.

View attachment 3427776

3. Uthibitisho wa kihistoria kuhusu Lango la Dhahabu

Leo hii, lango hilo bado lipo na limefungwa kabisa kwa mawe.

🔹 Historia inaonesha kwamba mwaka 1541, Sultani Suleiman kutoka Dola ya Kiosmani (Ottoman Empire) alitoa amri ya kulifunga lango hilo kabisa. Tangu wakati huo hadi sasa, halijawahi kufunguliwa tena.
🔹 Si hayo tu kwa hofu ya kuja kwa Masihi wa Kiyahudi kupitia lango hilo, Waislamu waliweka makaburi mbele yake, wakiamini kwamba Kuhani au Masiha hastahili kupita karibu na wafu, kwa kuwa angetia unajisi.(Hakujua kama anatimiza unabii ulioandikwa na Ezekiel zaidi ya miaka 2000 iliyopita)
View attachment 3427778

Hii yote ni uthibitisho halisi na unaoonekana leo kwamba unabii wa Ezekieli umetimia. Hakika, maandiko hayawezi kuvunjwa.

4. Maneno ya Yesu kuhusu uthibitisho wa Maandiko

Yesu alisema:
📖 “Na Maandiko hayawezi kuvunjwa.”
— Yohana 10:35

Kwa maneno haya, Yesu alisisitiza kwamba kila neno lililoandikwa katika Maandiko Matakatifu, hasa yale yanayomhusu, ni lazima litimie.

Hili linadhihirika wazi katika suala la lango la Mashariki – alilopitia kama Masihi na Mungu wa Israel sawa sawa na maneno ya nabii EZEKIEL lililofungwa baadaye kama ishara ya utukufu wa Mungu uliopita njia hiyo.

Wakati baadhi ya watu wanahoji uhalali wa Biblia wakidai kuwa imechakachuliwa, ni muhimu kufahamu kwamba:

📜 Biblia ina maelfu ya manuscript (maandiko ya kale) kama vile:

Dead Sea Scrolls

Codex Sinaiticus

Codex Vaticanus

Manuscript hizi zingine zimeandikwa hata kabla ya Yesu kuzaliwa, na zingine karne chache baada ya huduma yake duniani.

Kwa mujibu wa ulinganifu wa kitaaluma, maandiko ya leo yana zaidi ya 99% kufanana na maandiko hayo ya kale, jambo linalothibitisha uaminifu wa Biblia kama Neno la Mungu.
Nani kakuambia Yesu ni Mungu?
 
Back
Top Bottom