Masihi alipita hapa: Siri ya lango lililofungwa Yerusalemu

Quran Haina manuscript,Haina mtiririko wakueleweka ,huwezi kujua historia na matendo ya Musa unayapata wapi,Daudi ,n.k

Huwezi kujua Mungu ana mpango gani na wanadamu
Kwa sababu Lucifer mwenyewe ndiyo Mwanzilishi wa hiyo Dini....!
Kuwafanya Binadamu wasimwabundu Yahweh.
 
Nje ya Mada.

Wenzetu wamefanikiwa sana kutunza historia yao.

Sisi tunajua pale Isimila Iringa , kuna kumbukumbu za mababu zetu.

Mifupa na zana za jadi ambazo walitumia maelfu ya miaka . Na nadhan hatuvienz ipasavyo.
Vyetu tushaambiwa havina utakatifu
Havina damu ya yesu 🤣
 
Asante sana Mkuu . Andiko lako limeniongezea elimu kubwa sana ya Yesu . Pili wewe ni muandishi mzuri sana .
 
Mkuu nilikuwa nikidhani kwamba waislam walijenga makaburi kwenye Hilo gate Kwa minajili kwamba atakapokuja masihi tena aanze kuwafufua wao Kwanza kabla hajaendelea mbele kufanya mambo mengine...Kumbe walikuwa wakipatilia unajisi makusudi.
 
Mkuu nilikuwa nikidhani kwamba waislam walijenga makaburi kwenye Hilo gate Kwa minajili kwamba atakapokuja masihi tena aanze kuwafufua wao Kwanza kabla hajaendelea mbele kufanya mambo mengine...Kumbe walikuwa wakipatilia unajisi makusudi.
Lengo lao lilikuwa hilo kupatia unajisi,hata mimi awali nilidhani kuwa Waislamu waliweka makaburi pale Golden Gate ili Masihi awafufue wao kwanza, lakini nilipofuatilia vizuri historia ya lango hilo, niligundua kuwa haikuwa hivyo kabisa.

Makaburi yale yaliwekwa makusudi kwa nia ya kulifanya eneo hilo kuwa najisi kwa mujibu wa desturi za Kiyahudi, kwa sababu walijua kwamba Masihi wa Kiyahudi hapiti kwenye mahali palipo najisi.

Pia walilifunga lango hilo (Golden Gate) tangu karne ya 16 ili kumzuia Masiha asiingie Yerusalemu.
 
Mkuu nilikuwa nikidhani kwamba waislam walijenga makaburi kwenye Hilo gate Kwa minajili kwamba atakapokuja masihi tena aanze kuwafufua wao Kwanza kabla hajaendelea mbele kufanya mambo mengine...Kumbe walikuwa wakipatilia unajisi makusudi.
Hapo pia kuna kujifunza ... kumbe waislamu walidhani wanafanya lengo lao kumbe wanatekeleza mpango wa Mungu bila wao kujua .
 
Safi Sana

Ezekieli 44:1 " Kisha akanirudisha kwa njia ya lango lile la nje, la mahali patakatifu lililoelekea upande wa mashariki; nalo lilikuwa limefungwa.

2 Bwana akaniambia, Lango hili litafungwa, halitafunguliwa, wala mtu awaye yote hataingia kwa lango hili, kwa maana Bwana, Mungu wa Israeli, ameingia kwa hilo; basi kwa sababu hiyo litafungwa.

3 Na mkuu, yeye ndiye atakayeketi ndani yake ale chakula mbele za Bwana; ataingia kwa njia ya ukumbi wa lango, naye atatoka kwa njia iyo hiyo.

4 Kisha akanileta, kwa njia ya lango la upande wa kaskazini, mbele ya nyumba; nikaangalia, na tazama, huo utukufu wa Bwana uliijaza nyumba ya Bwana; nikaanguka kifudifudi.

5 Bwana akaniambia, Mwanadamu, weka moyoni mwako, ukatazame kwa macho yako, ukasikie kwa masikio yako, maneno yote nitakayokuambia, katika habari ya kawaida zote za nyumba ya Bwana, na ya amri zake zote; nawe weka moyoni mwako maingilio ya nyumba, pamoja na matokeo yote ya mahali patakatifu "

Neno la Mungu halisi
 
Mkuu samahani lakini sijui kwa nini kuna muda nakuona kama una upungufu wa akili

unatumia kigezo gani kusema yesu alipaa au alipotea au aliyeyuka kwenda mbinguni?

Usiseme maandiko yako nataka utumie akili yako alitoweka vp duniani?
 
Mkuu samahani lakini sijui kwa nini kuna muda nakuona kama una upungufu wa akili

unatumia kigezo kusema yesu alipaa au alipotea au aliyeyuka kwenda mbinguni?

Usiseme maandiko yako nataka utumie akili yako alitoweka vp duniani?
Wewe nilikupiga maswali siku ile ukayapita bila kujibu ukajifanya hujayaona

Leo unakuja na porojo
 
Wewe nilikupiga maswali siku ile ukayapita bila kujibu ukajifanya hujayaona

Leo unakuja na porojo
Nililukuwa pori embu nijibu yesu alipaa kama ndege au alipotea au aliyeyuka?
 
Masahihisho kidogo😀 Hili geti inasemekana kuwa Yesu atakapokuja tena ataingia Jerusalem kwa kupitia huu mlango! Mtawala wa Kiislam wa wakati huo Waislam wanaitawala Israel akaamua kuufunga eti asipite hapo🤣🤣 Yaani anaamini Yesu atarudi ila AANA amini kuwa akiziba huu mlango Yesu atoingia Jerusalem.

The Golden Gate (or Mercy Gate) in Jerusalem is a sealed, ancient eastern gate of the Old City, closed for nearly 500 years to prevent the entry of the Jewish Messiah. While the main structure remains sealed, intense tensions in 2019 led to the reopening of its internal area, Bab al-Rahma, for Muslim worship.
Key Details on the Golden Gate Opening:
Current Status: The main gate remains securely sealed with stone and mortar, last closed by Ottoman Sultan Suleiman the Magnificent in 1541, allegedly to prevent the Messiah from entering.
2019 Reopening: In February 2019, following protests and confrontations with Israeli police, the Bab al-Rahma area (the interior of the gatehouse) was reopened by the Waqf for Muslim prayers, though it has since faced intermittent, contested control.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…