Kasie
Platinum Member
- Dec 29, 2013
- 22,379
- 41,294
Tafsiri na lengo halisi la escort business ni hilo. Kuna watu wana nafasi hawana wenza, kwenye mialiko fulani inabidi kwenda na mwenza so unatafuta escort. Unasema muendako ni mualiko wa aina gani. Kama ni business meeting, political etc unapewa escort mwenye uelewa na hayo mambo ili hata kwenye few conversation asikutie aibu au aonekane yupo out of place. Kwa wenzetu unakuta ni watu walioenda shule na kujitambua. Hayo ya happy ending ni makubaliano mengine nje ya huduma hio.
Kwa hii huduma ya kunipa company kwenda kucheza mziki hapa ntamlipa cause I loooove muuusiiiiicccc aahahahhaaa na huwa sichoki hadi dj anazima mitambo. So huyo escort ajiandae haswa, maana atatumika ipasavyo.
Inaboa unaenda mziki mwenyewe halafu wanaume wengine wako na wanawake zao Ila bado wakikuona uko mwenyewe wanatuma waiter kuwa wamekununulia vinywaji ukikataa unaletewa business cards ukikataa inarudishwa tena na hela khaaa....!! Ukienda maliwato nawenyewe wanakuja kujibanza eneo unalotoka maliwato ili tuu akusemeshe au ajigonge kimaksudi aanzishe maongezi...
Ukiwa unacheza dancing floor wanajileta bila adabu kuja kukubambia bambia hovyo au kucheza nyuma yako bila wewe kuwa na habari...
So nikiwa na huyu escort watajua ndo bae wangu na kukaa mbali bin kumeza mate makavu aahahahahaa. Hii huduma lazima niichakate walaah.
Asanteni kwa maelezo, you deserve a tost with Kasie for this info.
K' Matata.