Masika imeanza...

Masika imeanza...

Tafsiri na lengo halisi la escort business ni hilo. Kuna watu wana nafasi hawana wenza, kwenye mialiko fulani inabidi kwenda na mwenza so unatafuta escort. Unasema muendako ni mualiko wa aina gani. Kama ni business meeting, political etc unapewa escort mwenye uelewa na hayo mambo ili hata kwenye few conversation asikutie aibu au aonekane yupo out of place. Kwa wenzetu unakuta ni watu walioenda shule na kujitambua. Hayo ya happy ending ni makubaliano mengine nje ya huduma hio.

Kwa hii huduma ya kunipa company kwenda kucheza mziki hapa ntamlipa cause I loooove muuusiiiiicccc aahahahhaaa na huwa sichoki hadi dj anazima mitambo. So huyo escort ajiandae haswa, maana atatumika ipasavyo.

Inaboa unaenda mziki mwenyewe halafu wanaume wengine wako na wanawake zao Ila bado wakikuona uko mwenyewe wanatuma waiter kuwa wamekununulia vinywaji ukikataa unaletewa business cards ukikataa inarudishwa tena na hela khaaa....!! Ukienda maliwato nawenyewe wanakuja kujibanza eneo unalotoka maliwato ili tuu akusemeshe au ajigonge kimaksudi aanzishe maongezi...
Ukiwa unacheza dancing floor wanajileta bila adabu kuja kukubambia bambia hovyo au kucheza nyuma yako bila wewe kuwa na habari...

So nikiwa na huyu escort watajua ndo bae wangu na kukaa mbali bin kumeza mate makavu aahahahahaa. Hii huduma lazima niichakate walaah.
Asanteni kwa maelezo, you deserve a tost with Kasie for this info.

K' Matata.
 
Mkuu escort unamlipia yeye binafsi hana shida ya kufurahishwa. Kazi yake ni kukufurahisha kwa malipo, period

Wooh, hii siiswezi asilani. Sitoi pesa yangu kwa mwanaume kwa malipo ya kunyanduana. Basi huduma hainifai hii.
 
Kwa hii huduma ya kunipa company kwenda kucheza mziki hapa ntamlipa cause I loooove muuusiiiiicccc aahahahhaaa na huwa sichoki hadi dj anazima mitambo. So huyo escort ajiandae haswa, maana atatumika ipasavyo.

Inaboa unaenda mziki mwenyewe halafu wanaume wengine wako na wanawake zao Ila bado wakikuona uko mwenyewe wanatuma waiter kuwa wamekununulia vinywaji ukikataa unaletewa business cards ukikataa inarudishwa tena na hela khaaa....!! Ukienda maliwato nawenyewe wanakuja kujibanza eneo unalotoka maliwato ili tuu akusemeshe au ajigonge kimaksudi aanzishe maongezi...
Ukiwa unacheza dancing floor wanajileta bila adabu kuja kukubambia bambia hovyo au kucheza nyuma yako bila wewe kuwa na habari...

So nikiwa na huyu escort watajua ndo bae wangu na kukaa mbali bin kumeza mate makavu aahahahahaa. Hii huduma lazima niichakate walaah.
Asanteni kwa maelezo, you deserve a tost with Kasie for this info.

K' Matata.
Kama unapenda ku dance wanakupa anaeweza kudance. Wanaume watabaki kuwa wanaume sasa wewe unakuja mwenyewe club unategemea wakuangalie tu?
 
Unachokisema hapa ni kama vile kuenda bar na kuagiza bia na kisha kumwambia meneja wa bar alipe

Aahahahaa am a woman you know....

Nikirembua jicho na kulegeza sauti naona hataishia kulipa bili tuu, bali ataniagizia na supu juu bili kwake ehehheheee.

Nikishiba naondoka zangu bila kumuaga sana sana ntamshukuru kwa wema wake....
 
Aisee!
 
Kama unapenda ku dance wanakupa anaeweza kudance. Wanaume watabaki kuwa wanaume sasa wewe unakuja mwenyewe club unategemea wakuangalie tu?

Yeah ntawaambia kabisa aje mwenye hobby na mziki Ila wasiniletee break dancer akaanza kutake over dancing floor kama yuko kazini aahahahhaaa.

Yeah nataka nikienda club mwenyewe wanaume waniangalie tuu wameze mate sana sana wanisalimie basi sio kuanza kuninunulia vinywaji mara business card mara watumishe hela mara wanisubirie korido ya chooni khaaa...

I know men are men but with Kasie Matata, they have to cool up and say what's app.... Aahahahhaaaa.
 
Yeah ntawaambia kabisa aje mwenye hobby na mziki Ila wasiniletee break dancer akaanza kutake over dancing floor kama yuko kazini aahahahhaaa.

Yeah nataka nikienda club mwenyewe wanaume waniangalie tuu wameze mate sana sana wanisakimje basi sio kuanza ignominious vinywaji mara business card mara watumishe hela mara wanisubirie korido ya chooni khaaa...

I know men are men but with Kasie Matata, they have to cool up and say what's app.... Aahahahhaaaa.
Kazi ipo....mimi sikumbuki mara ya mwisho kwenda club ni lini!
 
Back
Top Bottom