RRONDO
JF-Expert Member
- Jan 3, 2010
- 55,727
- 123,094
- Thread starter
- #101
Nilijua haya mambo yapo Ulaya tuYes..lakini sishauri sana mtu ku-hire an escort girl..haya mambo yanafikia point inakuwa kama addiction
Sisi binadamu baadhi tunapendaga kujaribu mambo mapya bila hata ya kuangalia athari zake sometimes
Hawa wadada baadhi wana kazi kabisa,ila ni wale wanaopenda maisha ya juu..kupanga nyumba ya 850k/month huku mshahara takehome ni 400k..