Masika imeanza...

Masika imeanza...

Hii mbinu nimeipenda sana, lakini sasa umesahau kusema kwamba una gari la gharama ambalo litawaepusha na kadhia za usafiri kipindi hiki. Kina dada changamkieni fursa, hii ofa ina marupurupu mengi kama ubunge wa jamhuri.
 
Mkuu umepotea njia?
 
Mkuu umepotea njia?
Mkuu sasa napoteaje njia wakati mimi ni mkazi mwenzako wa hapa JF ? Mimi nimependa tu jinsi ulivyo na huruma kwa hawa dada zetu, natumai watakutafuta wengi huko PM usijali.
 
Mbona sijawaomba chochote? Kumbe warahisi hivyo?
 
Back
Top Bottom