Masikini anapenda sana ngono kuliko tajiri

Wewe ndio umeongea sasa πŸ˜„
 
Masikini anapenda sana ngono kwakuwa muda mwingi amekuwa hana la kufanya yaani anakuwa yupoyupo tu.
ndiyo kitu pekee kinachompa faraja katika maisha yake ya Duniani - na uzuri Mwenyezi Mungu ameweka utamu sawa sawa uwe maskini na wa tajiri ila kuhema ni kule kule πŸ˜› πŸ˜› tena yawezekana maskini ndiyo ana enjoy zaidi sababu hajui mambo mengii ya kumkwaza kichwani zaidi ya kutafuta hela ya kula ya siku na kumuwahi mkewe home ili wamalizie siku kwa faraja ya tendo la ndoa.
 
Umewafanyia uchunguzi matajiri yote? Na umewafanyia uchunguzi masikini wote? Masikini kwa kudharauliana hamjambi
 
Sasa tajiri nguvu za kiume azitoe wapi vibolo vyenyewe vimenyauka na AC kukisimamisha mpaka ashituliwe kama landlover 110 ya mkoloni.
 
sasa mkuu matajiri siwanaenda viwanja vya hadhi yao ,utawaona sangap au takwimu yako utaisahihisha sangap

yaani

mimi ngono nitaenda kufanyia guest chumba buku 5

tajiri ngono ataenda hotelini chumba laki.

nani atawahi onekana mbele ya jamii
 
Umeua mkuu. Nakuongezea na huu msemo:
Maskini na wanawe, rajiri na mali zake. Msemo huu una maana sawa na uzi wako.
 
Mungu hakupi vyote akikunyima pesa atakupa Pepo la ngono
Hapana mkuu sio wote. Maskini hujamiiana sana wakiamini ndio sifa maana hawana kingine. Makini huzaa sana wakiamini watoto ndio kila kitu na faraja kwao. Kuna kija mmoja aliwahi kuniambia kua "psea nikose, si bira niwe na watoto wengi" kauli za kimaskini skini hizo
 
Akili mingi sana wewe dada.[emoji122]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…