Masikini anapenda sana ngono kuliko tajiri

Wewe ndie unatuelewa matajiri
 
Riziki utoa Mungu katika wengi hao yupo mmoja atainua familia.
Kutoka ni juhudi na nia na sio kukaa darasani.
 
Wewe ni tajiri au masikini?
 
Asante kwa uchambuzi wako.......kipindi fulani miaka ya nyumba aliwahi kukaririwa mchezaji fulani anaitwa Ronaldo Luis Nazario de kwamba akifanya mapenzi kabla ya mechi ndo hua anafunga magoli vp unazungumziaje hoja hii?
Swala la maskini kumpa mimba chap chap mtoto wa shule ni kwamba wale watoto wanafanya ngono kwenye siku zao za hatari hakuna uhusiano kwamba amefanya mapenzi na maskini ndio maana amepewa mimba kwa haraka!!!!
 
Hii example ni ya exception ila wengi kwakuwa hatuna miradi na mipango mingi basi hakuna namna.

Mungu hakunyimi vyote
 


Umasikini Ni kwanzia sh ngapi kushuka na utajiri Ni kwanzia sh ngapi
 
Maskini kwa matajiri wote hupenda ngono sana, mimi nadhani matajiri ndio zaidi sbb wao watanunua wanawake kisiri kila wakati bila hata mtu kujua na kuwa nao kingono, maskini ni kweli anapenda ngono ila hana mtaji au fedha za kumwezesha kufanya ngono kila wakati, maskini wengine ni shida sana hata kula ni tatizo huyo hata ngono hawazi tena anawaza atakula nini kila siku…!!

Fukara ndio ngono hawazi hata kidogo, yeye anawaza kesho nitakula nn jamani, fukara kara kara yeye hata hajui mapenzi ni nini wala hajui kabisa mwanamke mrembo ni yupi, yeye anawaza nitaishi vipi maana hana tumaini lolote mbele


Hivyo sio sahihi sana kusema maskini ndio huwaza ngono sana kuliko matajiri, inategemea, mfano Berlusconi wa Italy, alikuwa tajiri na fuska malaya kitombi firauni haoni ndani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…