Masikini anapenda sana ngono kuliko tajiri

Mtoa Mada Hajui Tofauti Kati Ya Jobless,maskini Na Tajiri.Mtoa Mada Anamzungumzia Jobless Na Sio Maskini.Pesa Ni Baraka, Maskini Wanapambana Sana Na Kazi Ngumu Akirud Usiku Kachoka Vibaya Analala,haimaanishi Maskini Ni Mtu Asiye Na Kazi Anayekaa Ndani Maskini Wanapambana Sana Kuzidi Tajiri Muda Mwingine Labda Milango Ya Utajira Bado Haijafunguka.Rekebisha Kidogo Sema Maskini Anatumia Sex Kama Relief Au Kama Starehe Maana Hana Pesa Ya Kufanya Starehe Nyingine.Kuhusu Suala La Maskini Na Kuzaliana Waswahili Husema Tajiri Na Mali Zake Maskini Na Watoto Wake.Kuna Jobless Sio Maskini Usikariri
 

🤗🤗🤗
 
Chai
 
Wewe naona unaongea kinyume wewe.Tena unaongea hisia zako hazina uhalisia.Matajiri wanapiga totoz kupita kawaida..SEMA hutakuja kuwaona kirahisi....
 
Riziki utoa Mungu katika wengi hao yupo mmoja atainua familia.
Kutoka ni juhudi na nia na sio kukaa darasani.
Sentence zako zinakinzana. Riziki anatoa mungu? Au kutoka ni juhudi na nia? Upo upande gani? Kama ni juhudi, kwanini huyu mzazi aaminibkuwa akizaa watoto wengi kuna mmoja atamkomboa? Kwa nini anabeti hivyo? Mkuu bado una mawazo ya kizamani sana. Siku hizi mtoto anahitaji mwongozo ili atoboe labda awe na kipaji na hapo ndio tunita kubeti. Kama hana kipaji basi anakuhitaji wewe mzazi umpe ABC sio za maneno ila la vitu vitakabyo mfanya nae aanze na kosonga
 
Mungu hakuletei pesa mezani anakupa nguvu na Nia ya kupambana.
Mapambano kidogo pesa zaidi.
 
Madam mbona vitu vidogo hv vinakuchanganya! Huwa hupewi vyote ukijaliwa Pesa unanyimwa maajabu kwenye migegedo, ukinyimwa Pesa unapewa maajabu ya kumsukuma makontena mazito mazito na mishangazi ya kikongo
[emoji38][emoji38]
 
Zaa watoto wengi wa kike weupe mjini ni mtaji tosha.
Mwanamke mweupe ni rahisi sana kutoboa mjini kuliko mwanamke msomi
 
Matajiri bana wao wengi wao ngono wanaifanya kama ziada tu, yaani kujistarehesha sio ngono njaa.

Hapa ndipo unapojua kuwa maskini ni mtu wa ovyo sana
 
Tajiri ana Plex library ina 55,000 movies. TV 10 nyumbani. Vitabu 10,000 kwenye bookshelf. Podcasts 4,000. DVD/Blurays 10,000. Tablets kama 30. Laptops 25.
Playstation. XBox.

Biashara katika miji mikubwa tofauti ya dunia.

Simu za lawyer kufuatilia kesi. Simu za accountant kufuatilia kodi.

Simu za waomba pesa na fadhila mbalimbali kuanzia wanasiasa wanaotaka michango ya kampeni mpaka viongozi wa kidini wanaotaka sadaka na michango ya ujenzi wa nyumba za ibada.

Simu za maofisa wa serikali wanaotafuta rushwa.

Simu za vijana waliohitimu vyuoni wanaotafuta ajira.

Simu za wasiojiweza wanaotafuta matibabu.

Simu za ndugu masikini wanaoomba ada za watoto shule na kodi za nyumba.

Simu za promotion za biashara za watu wakitangaza bidhaa zao.

Simu za matapeli wa Ki Nigeria wanaosema wao ma Prince wamerithi mamilioni ya dola wanahitaji ntu wa kuwasaidia kuyachota tu.

Simu za michango ya harusi ya marafiki ambao hawajaonana nao miaka 40 lakini leo wanaoa na wanajua wana hela, hivyo wamewakumbuka.

Simu za Watanzania wanaotafuta visa na nauli kwenda ughaibuni.

Simu za Watanzania walio ughaibuni wanaotaka kurudi Tanzania.

Simu za vikao vya familia vilivyowa promote vyeo vya familia matajiri kwa sababu ya hela zao.

Simu za vikao vya bar kwenda kuzungusha raundi ambazo kurudishiwa ni muhali.

Simu za misiba ya watu ambao undugu wao unahitaji darubini na family tree kadhaa zinazorudi nyuma zaidi ya Berlin Conference kuuona udugu.

Simu za michango ya team za michezo.

Simu za get together za watu wa shule ambao ulivyokuwa nao shule hata majina hukuwajua.

Simu za wauza magari wanaotaka kuuza magari zaidi.

Simu za bankers wanaotaka kuonesha investment mpya ya kutengeneza hela zaidi.

Simu za TRA.

Simu za daktari akikumbusha yearly checkup.

Simu za Saville Row zikikumbusha kuna kitambaa cha suti mpya kimetoka.

Simu za Real Estate Agents wakitangaza mijengo mipya sehemu za kishua inauzwa.

Zote zina compete na ngono hizo.
 
Yupi huyo tajiri
 
Utajiri ni nini? Umaskini ni nini? Mimi naona hata tunaowaita maskini kwa tafsiri za mitaani za kutomiliki mali za thamani sana na pesa nyingi..bado ni wapambanaji sana ila bado hawajatoboa..ila wavivu wasio fanya kazi ni sehem ya maskini labda ndio wanatabia izo..sio kila maskini ni mvivu na sio kila mwenye ukawasi ni mchapa kazi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…