mbu wa dengue
JF-Expert Member
- Jun 2, 2014
- 10,487
- 14,559
Nimeona ile video jinsi watu wanavyoshangilia na kupayuka"eti wewe nani,wewe nani usikamatwe".Maskini wakishangilia TAJIRI John Tilisho kupigwa pingu mbele ya kadamnasi kama mwizi wa kuku stend ya mbezi magufuli.
Ndio mana matajiri wengi wanakua na roho mbaya, maana wanajua automatically maskini wengi wanawachukia.
Ila huu ukamataji ๐๐
Inasikitisha sanaNimeona ile video jinsi watu wanavyoshangilia na kupayuka"eti wewe nani,wewe nani usikamatwe".
Kwa hiyo hapo maskini ndio wanapata sehemu ya kujifariji kwamba wao waendesha bodaboda na mmiliki wa mabus wapo na kiwango sawa
Kufanya matajiri tuwe maskini Ili atutawale vizuriAlifanyaje
Kumbe na wewe ni miongoni mwa matajiri, nilikua sijui.Kufanya matajiri tuwe maskini Ili atutawale vizuri
Kuwa bull matajiri na wewe unajua.
Kupora pesa zetu Kwa visingizio vya kukwepa Kodi
And such many nonsense
Umasikini ni kama laana.Juzijuzi pia walishangilia wachimbaji madini kunyimwa ruzuku kisa Ile harusi ya katoro.
Nlishangaa sana wanampongeza Samia.
Mungu aniepushie hiyo roho
Njaa njaa njaa baba huleta makasirikoMaskini mda wote wanakuwa na hasira na wivu kwa tajiri.
Kabisa.nauchukia mnoUmasikini ni kama laana.
Sheria imefuatwa sawaKwa hiyo wivu uko wapi hapo? Sheria imefuatwa ..Jamaa bado akili yako ina vumbi .
Wachimbaji wadogo wanaathirika sababu ya kundi la wachache ambao tayari wamefanikiwa.sijui wanafikiria Hilo?Hata aliyewanyima nae hakua sahihi,amechanganya masuala binafsi dhidi ya maslahi ya UMMA ambao ndio wengi
Watu wanashangilia mpaka kifo sembuse mtu kusegwa , mbona mtajiri mna insucurity sana , kwani maskini anafurahi kushikwa kwako basi anakuchukia kisa una pesa ?Sheria imefuatwa sawa
Lakini kwanini katika hekaheka kama hizo za kutafuta riziki mwanaume mwenzio anapata changamoto we unashangilia?
Kama una ielewa wa Maisha na struggle tunazopitia unaweza kaa kupiga makofi mwenzio akijikwaa?
Kama sio roho ya umaskini ni Nini?
Mzee mi bado ila ni tajiri mtarajiwa๐คฃWatu wanashangilia mpaka kifo sembuse mtu kusegwa , mbona mtajiri mna insucurity sana , kwani maskini anafurahi kushikwa kwako basi anakuchukia kisa una pesa ?
Pesa inakufanya unajishtukia kama unaoga nje , kumbe pesa zinawatesa sana , mpaka mnaishi kwa uoga na wengine wanaweka body guards ๐ ๐ ..Huku mtaani ukifumaniwa utachekwa , watu wakipigana watachekwa na wengine wanafurahi.
Maskini mnapenda sana kujifarijihumu 90% tuna maisha magumu mnooo sema kidogo tumepita fm 4 ndo maana kelele nyingi kumbe na sisi n wale wale