Ha ha ha unakuta masikini anakomaa kusema masikini wana roho mbaya! Oops hapa JF masikini ni mimi na wewe tu.hivi hawa maskini wenye roho mbaya wako wapi? maana humu wanasemwa hao maskini kama vile watu wote humu mna maisha makubwa kama tirisho
humu 90% tuna maisha magumu mnooo sema kidogo tumepita fm 4 ndo maana kelele nyingi kumbe na sisi n wale wale
Chuki inajengeka aisee, watu kama hao mabilionea ni kuishi nao kwa akiliChalamila jana kamuaibisha sana John, na hao wanaozomea inawezekana Kuna chochote kitu walipata
mkuu we najua upo kwenye 10% iliyo baki hapo japo we pia maskini ila angalau wewe kuliko mimiMaskini mnapenda sana kujifariji
Ni kweli Mimi akili yangu inavumbi kama ya mamayko mzaziKwa hiyo wivu uko wapi hapo? Sheria imefuatwa ..Jamaa bado akili yako ina vumbi .
Kwishaa.....Wivu na Chuki ni Jambo la asili la binadamu wote uwe Masikini au tajiri
Hao wanaoshangiliwa sio kuwa ni kwa sababu ni Masikini ila ni wajinga ila kitu ambacho ujue hata matajiri wao kwa wao wanachukiana na kufanyiana fitina kubwa ktk biashara
Wizi ,utapeli kuhujumiana n.k
Na in deep down ukifatilia mpaka huyo jamaa anapingwa pingu ni hao hao matajiri wenzake wamemchoma ili kumdhoofisha kibiashara n.k
Sheria imefuatwa sawa
Lakini kwanini katika hekaheka kama hizo za kutafuta riziki mwanaume mwenzio anapata changamoto we unashangilia?
Kama una ielewa wa Maisha na struggle tunazopitia unaweza kaa kupiga makofi mwenzio akijikwaa?
Kama sio roho ya umaskini ni Nini?
Mshamba wewe ,una pesa gani π π watu wana mishe zao ,kushobokea matajiri ni machawa wa bara huko ,huku usilete ushamba kenge wewe kasoro mkiaπ πNi kweli Mimi akili yangu inavumbi kama ya mamayko mzazi
Sitashobokea tena matajiri, nitaanza kumshobokea mama Yako mzazi ili mwisho wa siku nimsukumie mpiniMshamba wewe ,una pesa gani π π watu wana mishe zao ,kushobokea matajiri ni machawa wa bara huko ,huku usilete ushamba kenge wewe kasoro mkiaπ π
Mtu kukamatwa unaenda kuvamia wengine π π hakuna uhusiano ,kila mtu anatafuta riziki yake hapo...Sitashobokea tena matajiri, nitaanza kumshobokea mama Yako mzazi ili mwisho wa siku nimsukumie mpini
Unaleta shobo na maskini ,wanakuzuia nnπ π ***** umeenda Dar kushangaa π π kMpaka siku nikusukumie uboo ndio utaniheshimu utaacha shobo na wanaume na kujichekesha kama Malay* alieona bia
Hawajashangilia yeye kupigwa pingu bali wameshangilia kwa kosa la yeye kukaidi wazi wazi agizo la serikali. Lazima tutii mamlaka, una hoja iwasilishe lakini si kuonesha wazi kudharau mamlaka kisa una pesa.Maskini wakishangilia TAJIRI John Tilisho kupigwa pingu mbele ya kadamnasi kama mwizi wa kuku stend ya mbezi magufuli.
Ndio mana matajiri wengi wanakua na roho mbaya, maana wanajua automatically maskini wengi wanawachukia.
Ila huu ukamataji ππ
Mbona unachekacheka hvyo?Unaleta shobo na maskini ,wanakuzuia nnπ π ***** umeenda Dar kushangaa π π k
Ukweli mchungu kila binadamu ana asili ya ubinafsi.Maskini wakishangilia TAJIRI John Tilisho kupigwa pingu mbele ya kadamnasi kama mwizi wa kuku stend ya mbezi magufuli.
Ndio mana matajiri wengi wanakua na roho mbaya, maana wanajua automatically maskini wengi wanawachukia.
Ila huu ukamataji ππ
Acha shobo na maskini ,unajishtukia sanaMbona unachekacheka hvyo?