masopakyindi
Platinum Member
- Jul 5, 2011
- 18,207
- 13,839
Kama kuna wakati huyu Baba Askofu anapitia wakati mgumu ni huu sasa.
KAtika mazishi ya Rev Gehaz Maasusa, baba wa Askofu mwenziwe Dk Alex Malasusa, Askofu Mwaikali ilibidi aondolewe hapo msibai kwa hofu ya kutokea fujo.
Naambiwa hapo msibani palikuwa na amani ya hali ya juu, lakini askari na watu wa usalam walikuwa wengi kuhakikisha haliharibiki neno.
Ushauri kwa Askofu ni mmoja tu, ajishushe ili wengine wamwinue, au ajiuzulu Uaskofu.
Sasa n dhahiri, washauri wake kina Mch Mwambola wamempotosha .