Crimea
JF-Expert Member
- Mar 25, 2014
- 25,874
- 36,030
Hii kitu inawagharimu sana KKKT!Huu ujinga hutaukuta RC
Ukisharuhusu demokrasia ndani ya kanisa umeharibu kila kitu.
RC , unaletewa Paroko umkubali usimkubali Parokia itaenda.
Kuna mifano mingi unaweza kushangaa mchungaji au Mwinjilisiti anafukuzwa kama mbwa alafu ukiuliza mgogoro ameanzisha nani unaambiwa kuna kwaya ilitaka jambo flani walipokataliwa ndio yakatokea hayo.