masopakyindi
Platinum Member
- Jul 5, 2011
- 18,207
- 13,839
Umeongea nini hapa? Kwani imekuwaje?View attachment 2047649
Kama kuna wakati huyu Baba Askofu anapitia wakati mgumu ni huu sasa.
KAtika mazishi ya Rev Gehaz Maasusa, baba wa Askofu mwenziwe Dk Alex Malasusa, Askofu Mwaikali ilibidi aondolewe hapo msibai kwa hofu ya kutokea fujo.
Naambiwa hapo msibani palikuwa na amani ya hali ya juu, lakini askari na watu wa usalam walikuwa wengi kuhakikisha haliharibiki neno.
Ushauri kwa Askofu ni mmoja tu, ajishushe ili wengine wamwinue, au ajiuzulu Uaskofu.
Sasa n dhahiri, washauri wake kina Mch Mwambola wamempotosha .
Wewe ni mgeni na kanisa la mafujo kila siku?!Umeandika kana kwamba Wote TU tunamjua uyo askofu[emoji848]
Umeandika kana kwamba Wote tunajua ayo mabifu yananyoendelea uko parokiani[emoji848]
Itakuwa chanzo ni feza aka chapaa aka ankara aka midolali aka mpungaaaKUNA UGOMVI GANI UNAENDELEA HUKO KKKT?
Askofu Mwaikali ni Askofu wa KKKT Dayosisi ya Konde yenye makao makuu Tukuyu.Umeandika kana kwamba Wote TU tunamjua uyo askofu[emoji848]
Umeandika kana kwamba Wote tunajua ayo mabifu yananyoendelea uko parokiani[emoji848]
[emoji38][emoji38]Huyo wengine hatumjui,, ingekuwa bro gwajizo foshizo au mjomba mwamponga beibyy hapo kweli ningekoment!!
Mkuu KKKT masuala ya bifu sio ya kushangaa kabisaKUNA UGOMVI GANI UNAENDELEA HUKO KKKT?
Bro nimeanza kuona haya miaka 20 iliyopita I KANTI BILIVU YANAENDELEAKKKT na kung fu, Kung fu na KKKT ni mtu na nduguye kwa miaka na miaka.
KKKT ni "vikanisa"?Vikanisa
Mtu anafunga kanisa kisha kulipangisha, watu wakasali wapi, kwanza alipaswa apigwe bakora hana tofauti na wale waliokuwa wakiuza njiwa na kubadili pesa Hekaluni.Mkuu KKKT masuala ya bifu sio ya kushangaa kabisa