Masikini Askofu Mwaikali, afukuzwa msibani Kiwira, msiba wa Rev Gehaz Malasusa, aaibu!

Huu ujinga hutaukuta RC

Ukisharuhusu demokrasia ndani ya kanisa umeharibu kila kitu.

RC , unaletewa Paroko umkubali usimkubali Parokia itaenda.
Hii kitu inawagharimu sana KKKT!

Kuna mifano mingi unaweza kushangaa mchungaji au Mwinjilisiti anafukuzwa kama mbwa alafu ukiuliza mgogoro ameanzisha nani unaambiwa kuna kwaya ilitaka jambo flani walipokataliwa ndio yakatokea hayo.
 
[emoji38][emoji38][emoji38]
 
kwa jambo hili mtawatambua kwamba ni wafuasi wangu. UPENDO... Ndio kipimo kikuu cha dini ya kweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…