Masikini Azam FC, nini hiki kinatokea msimu huu?

Azam FC kama sio Utopolo Plus basi ni Kichwa cha mwendawazimu!
 
Timu imekuwa under pressure sasa dah! Asije tajiri akaamua kuivunjilia mbali na kuwauzia kiwanja Simba asee...Timu sijui imerogwa? Una Wadada,Yakoub,Sureboy,Chirwa,Richard Jodi,Nova Tigere,Dube,Nado,Azam Complex,Azam TV,huna njaa...hii timu imerogwa...hapo hatutaki ichukue ubingwa lakini siyo ifikie hatua hii kwa kweli.
 
Ni sawa wako kwenye form mbovu kwa sasa, lakini bado wana nafasi ya kufuta makosa na kurudi vizuri tena kama walivyoanza msimu... Pole kwao ndio mpira ulivyo.
Watafuta makosa yao watakapocheza na Simba
 
Awauzie thimba unavyojipendekeza apewe TFF
 
Nafasi ya 3 ndio special kwao Azam karibu kila msimu

Sjajua unachowashangaa hawa.. Wewe hujiulizi na uwekezaji wote kuanzia timu za watoto, vijana na Uwanja bora kabisa lakini mafanikio yao wao ni kubeba MAPINDUZI Cup?

:TATIZO LA AZAM FC ni mbinu za kupata matokeo bora msimu mzima...

Pumzi ya wachezaji wao ni ndogo (morali) kulinganisha na Pesa anazowapa Bakresa, kupambania timu yao wachezaji wengi hapo Chamazi hawana kabisa.

Wanacheza wakijua SIMBA NA YANGA ndio kila kitu, Wakitaka kujua POINT ndio kila kitu wawauulize LEICESTER CITY msimu ule wanabeba ubingwa mbele ya Liverpool, Man u, Arsenal, Chelsea na Man city.
 
Hamna timu mle, waache kuiga Yanga na Simba.
 
shida waondoe mazindiko na msikiti uwanjani, huwezi changanya mungu na matambiko.
 
Wapuuzi hao acha wapigwe tu,we mtu wanaongoza dk za mwishoni za 70 wanaanza kupoteza muda kwa kujiangusha angusha bila sababu za msingi,hasa likipa lao,mpira unasimama bila sababu ya msingi,bora walivyolaaniwa tu
 
Nafikiri Azam hawahongi marefa na wachezaji wa team pinzani ili wauze game washinde..

Kama masimba na yanga.. Kiwango cha hovyoo ila yanashinda.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…