KUCH KUCH
JF-Expert Member
- Dec 18, 2015
- 1,327
- 966
Yanga B ipo wap?Simba B, bado zamu ya simba A
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yanga B ipo wap?Simba B, bado zamu ya simba A
Ilishashuka daraja... toto africaYanga B ipo wap?
Watafuta makosa yao watakapocheza na SimbaNi sawa wako kwenye form mbovu kwa sasa, lakini bado wana nafasi ya kufuta makosa na kurudi vizuri tena kama walivyoanza msimu... Pole kwao ndio mpira ulivyo.
Tatizo la kwanza Azam ni kipa...bado hawajapata mbadala wa yule Abarola.mpira una matokeo ya kikatili sana.Magoli yote waliyofungwa Azam ni uzembe wa kipa na beki zake
Awauzie thimba unavyojipendekeza apewe TFFTimu imekuwa under pressure sasa dah! Asije tajiri akaamua kuivunjilia mbali na kuwauzia kiwanja Simba asee...Timu sijui imerogwa? Una Wadada,Yakoub,Sureboy,Chirwa,Richard Jodi,Nova Tigere,Dube,Nado,Azam Complex,Azam TV,huna njaa...hii timu imerogwa...hapo hatutaki ichukue ubingwa lakini siyo ifikie hatua hii kwa kweli.
Thubutu yao...Watafuta makosa yao watakapocheza na Simba
Hata akadake Mnata au Manula, Azam moto wao niwa mabua siku zoteTatizo la kwanza Azam ni kipa...bado hawajapata mbadala wa yule Abarola.
Nafasi ya 3 ndio special kwao Azam karibu kila msimuTimu imekuwa under pressure sasa dah! Asije tajiri akaamua kuivunjilia mbali na kuwauzia kiwanja Simba asee...Timu sijui imerogwa? Una Wadada,Yakoub,Sureboy,Chirwa,Richard Jodi,Nova Tigere,Dube,Nado,Azam Complex,Azam TV,huna njaa...hii timu imerogwa...hapo hatutaki ichukue ubingwa lakini siyo ifikie hatua hii kwa kweli.
Hamna timu mle, waache kuiga Yanga na Simba.Nashuhudia hapa game ya Azam FC na Namungo. Dakika ya 91 Azam ikiwa mbele kwa goli 2-1. Zikiwa zimeongezwa dakika nne Namungo wakapata kona. Dakika ya 94 Kikoti anapiga kona maridadi kabisa Steven Seyi anasawazisha. Sey anakera sana, anachomekea halafu anawapungia mkono.
FT Azam Fc 2- 2 Namungo
Namuona Nado analia, wachezaji wa Azam FC wamelala chini hawana nguvu. Mpaka nimeshikwa simanzi kwa huruma. Ikumbukwe Azam Fc toka wafungwe na Utopolo Le Dera. Hawajashinda mechi yeyote. Biashara, Gwambina na leo Namungo zote droo.
My Take
Bado Utropolo
shida waondoe mazindiko na msikiti uwanjani, huwezi changanya mungu na matambiko.Nashuhudia hapa game ya Azam FC na Namungo. Dakika ya 91 Azam ikiwa mbele kwa goli 2-1. Zikiwa zimeongezwa dakika nne Namungo wakapata kona. Dakika ya 94 Kikoti anapiga kona maridadi kabisa Steven Seyi anasawazisha. Sey anakera sana, anachomekea halafu anawapungia mkono.
FT Azam Fc 2- 2 Namungo
Namuona Nado analia, wachezaji wa Azam FC wamelala chini hawana nguvu. Mpaka nimeshikwa simanzi kwa huruma. Ikumbukwe Azam Fc toka wafungwe na Utopolo Le Dera. Hawajashinda mechi yeyote. Biashara, Gwambina na leo Namungo zote droo.
My Take
Bado Utropolo
Waweke kanisa mbwa wwshida waondoe mazindiko na msikiti uwanjani, huwezi changanya mungu na matambiko.
wasiweke vyote, vinginevyo watashuka daraja, ile siyo timu ya dhehebu .Waweke kanisa mbwa ww