Masikini Azam FC, nini hiki kinatokea msimu huu?

Ni kweli mkuu
 
Umahaba na mikia unawaponza, tuliwaomba sureboy, walivyotumika na mikia kama kondomi ndo kimewaponza, wakafie mbele na dube wao
 
maombi yafanyike Chamazi nzima. wametoa dro tena
Watu hamjui tu mwenye timu n shabiki Wa msimbazi tena lia lia yeye hata akiifungwa haimuumi kama simba ikipoteza mchezo

Kuna jamaa yupo karibu na na menejiment ya hii timu anasema viongoz wengi wapo kimaslahi pale wanaangalia mifuko yao na wamegawanyika wengne wapo yanga na wengne Sumba muwekezaji mkuu n simba na anaumia zaid simba ikifungwa had mchoz anatoa kuliko azam timu yake ikipoteza ambako amewekeza mabilion ya pesa
 
Ndo ufala huo.
 
Wajitahidi mechi yao na wamatopeni wafute uteja kwa msimu huu itatosha sana!
 
Ndio umeandika nn? Shame on you uwezo mdgo wa ku analyse na ku evaluate mambo. Umejawa na ushabiki
 
Niuzieni mimi hiyo timu,wacha wakomeshwe,waliwadharirisha sana kina boko na manula pale sasahiv naona wanalipia sasa
 
Azam waliua timu kwa mikono yao wenyewe.

Wanafanya usajili wa wachezaji wasio na vision zozote.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…